LazyDog
JF-Expert Member
- Apr 10, 2008
- 2,473
- 199
Sijui kama unafahamu kinachofanyika unapotaka request thru forgot password? Kwa kifupi system ita-display swali au maswali yale ulilyojaza ulipokuwa una-sign up hiyo account, then system inalinganisha na majibu ya maswali yaliyopo(currently) kwenye account hiyo, yakifanana inatuma reset kwenye alter address uliyo-supply wakati ule....
Issue yenyewe ni kwamba jamaa wameingia kwenye account ya prof na kufanya changes kwenye account na majibu ya maswali if possible kwani wana full-access. kwa hiyo password reset haita work!!!
Hijackers wanaweza kubadilisha baadhi tu ya details kwenye hiyo email account. Hapo juu nimetaja vitu viwili na kuonyesha jinsi isivyo rahisi kubadilishwa. Ukisahau jibu la secret question, pamoja na password ya alternative email, hiyo itaondoa kabisa uwezekano wa kupata au kupewa password mpya.