Msaada, Email Hijacked!

Msaada, Email Hijacked!

Sijui kama unafahamu kinachofanyika unapotaka request thru forgot password? Kwa kifupi system ita-display swali au maswali yale ulilyojaza ulipokuwa una-sign up hiyo account, then system inalinganisha na majibu ya maswali yaliyopo(currently) kwenye account hiyo, yakifanana inatuma reset kwenye alter address uliyo-supply wakati ule....

Issue yenyewe ni kwamba jamaa wameingia kwenye account ya prof na kufanya changes kwenye account na majibu ya maswali if possible kwani wana full-access. kwa hiyo password reset haita work!!!

Hijackers wanaweza kubadilisha baadhi tu ya details kwenye hiyo email account. Hapo juu nimetaja vitu viwili na kuonyesha jinsi isivyo rahisi kubadilishwa. Ukisahau jibu la secret question, pamoja na password ya alternative email, hiyo itaondoa kabisa uwezekano wa kupata au kupewa password mpya.
 
Yawezekana wakati anafanya registration hakujaza alternative email. Je hapo itakuwaje? Ajaribu kufika Yahoo tu na vithibitisho vingine vinavyo weza kuonesha kuwa anamiliki hiyo account...mfano Email flani aliyo wahi kuprint. Nadhani watamwamini ikiwa pia ataweza kuthibitisha baadhi ya majina/contacts alizonazo.

Otherwise wale jamaa wana nguvu ya kufanya lolote watakalo bila kweeere kabisa.

Asante.
 
Kumradhi, kumbe kweli hauwezi kubadili secret question/answer. Na birthdate etc nazao huwezi kubadili.
Tatizo kama mimi hata sikumbuki swali nililoweka some 7 years ago, lets hope I never get phished!!
 
Not entirely correct 🙂

Naanza kuamini kuwa tarehe ya kuzaliwa huwezi kuibadili. Nimefanya jaribio, and this is what I found:
Birthdate: Not displayed for security reasons

Your birth date is an important part of your password recovery.
 
Last edited:
Ndugu muulizaji wa swali nazidi kukusisitizia wafuate yahoo wao ndio wasaidizi wao wa kwanza na wamwisho kisheria hakuna mtu wowote wala kampuni inayotakiwa kuingilia makubaliano yako na yahoo unapotumia huduma yao mwingine akiingia na kukufungulia maana yake anavunja sheria na pengine anaweza kuwekwa kundi moja na wahalifu wengine wote wa masuala ya mtandao

You are very right! It is an internet crime under the password fraud and advance fee fraud. Counts ni nyingi sana hapa na emails zitakazotumwa kwa address hii zote zaweza kutumika kama tress out against wao na ushahidi watapokamatwa. Yote haya yatafanywa na YAHOO INC. kwa kitengo cha password fraud. It is a serious crime performed by our fellow west africans. Really shameless!

ONYO: Password or passcode is a personal code hata yahoo wenyewe hawatakaa hata siku moja wakuulize! Na hata hii imeandikwa katika terms zao. It is not surprising watu wengi wakiwa wanajisajili au kujiandikisha pahala wakifika pale wanapotakiwa kujiridhia hawasomi terms. Huwa ziko wazi. Do You Accept wanasema tu YES bila kusoma na hii ni case ambayo ni matokeo yake. Na hiki kipengele kitamfunga huyu mtu kwani ameshaambiwa asi-disclose kwa any body than mwenyewe. I suspect pia kisheria wana haki ya kutomsaidia unless ....... ni VIP kwa yahoo or else!
 
Not entirely correct 🙂

Naanza kuamini kuwa tarehe ya kuzaliwa huwezi kuibadili. Nimefanya jaribio, and this is what I found:
Birthdate: Not displayed for security reasons

LD,
Asante kwa kunisaidia kuwaelewesha watu hapa. Mimi niliona nisiendelee kubisha maana nilikuwa na hakika si rahisi hackers kubadirisha secret question maana nilipokuwa victim wa jambo hili nilifuatilia kuona kama kuna uwezekano wa kubadilisha swali lile na jibu nikagundua si rahisi.
Kweli nilikuta kwa ujinga wao wamejaribu kubadilisha details za account yangu na kuweka fake ones lakini kwa jibu la siri wasingeweza kabisa maana hilo linafichwa na huwa halibadirishwi hadi uitupe account yako.
Kwa case ya proffessor nadhani hata yeye ameshasahau secret answer yake. La sivyo anaweza kurudi katika account yake na aka-change password na hapo ndio huwa mwisho wa wahuni hao wa kinigeria.
Asante kwa kuliweka hili wazi.
 
You are very right! It is an internet crime under the password fraud and advance fee fraud. Counts ni nyingi sana hapa na emails zitakazotumwa kwa address hii zote zaweza kutumika kama tress out against wao na ushahidi watapokamatwa. Yote haya yatafanywa na YAHOO INC. kwa kitengo cha password fraud. It is a serious crime performed by our fellow west africans. Really shameless!

ONYO: Password or passcode is a personal code hata yahoo wenyewe hawatakaa hata siku moja wakuulize! Na hata hii imeandikwa katika terms zao. It is not surprising watu wengi wakiwa wanajisajili au kujiandikisha pahala wakifika pale wanapotakiwa kujiridhia hawasomi terms. Huwa ziko wazi. Do You Accept wanasema tu YES bila kusoma na hii ni case ambayo ni matokeo yake. Na hiki kipengele kitamfunga huyu mtu kwani ameshaambiwa asi-disclose kwa any body than mwenyewe. I suspect pia kisheria wana haki ya kutomsaidia unless ....... ni VIP kwa yahoo or else!

Lakini kwani hata wanaojua sheria huwa hawakosei? mbona nao ndio wanaokosea kila siku? Angalia wakina Masha wanavyotoa visogo kwa viapo vyao! Hapa ni kuona jinsi ya kumsaidia Proffessor, maana kama ni adhabu si kesha pata? siku nyingine atakuwa mwangalifu.
Ni rahisi watu ku - fall victim kwa matapeli kama watanzania asilimia 80 walivyojikuta mikononi mwa matapeli kwa kupenda wenyewe bila shinikizo ingawa walipewa tahadhari. Dunia ndivyo ilivyo. Ndege mjanja unaswa katika tundu bovu.
 
Not entirely correct 🙂

Naanza kuamini kuwa tarehe ya kuzaliwa huwezi kuibadili. Nimefanya jaribio, and this is what I found:
Birthdate: Not displayed for security reasons

I think I said that, question/answer nayo haibadilishiki mpaka uweke ya zamani kwanza, so hao jamaa no way wamebadilisha hilo swali, angeweza kukumbuka angeipata e-mail yake.
 
Back
Top Bottom