1. History of the shamba/eneo is very important. Tafuta/uliza/peleleza bibi yako hilo eneo alilipataje?Msaada ndugu nina mgogoro wa ardhi mahali ambapo bibi yangu alikuwa analima kuanzia miaka ya 80 na sidhani kama aliwai kuwa na hati ya ilo eneo ila ndio mahali tumekuwa tukipata mazao ya kula kama familia sasa kuna mtu amevamia eneo baada ya bibi kufariki sasa je ntaweza vipi kuthibitisha ilo eneo ni la bibi yangu ili niweze kupata haki yangu kisheria
!nawasilisha
Asante sana1. History of the shamba/eneo is very important. Tafuta/uliza/peleleza bibi yako hilo eneo alilipataje?
2. Kutoka 1980 mpaka leo ni miaka mingapi? Huyu anayedai sasa alikuwa wapi muda wote huo? Peleleza upate jibu la hilo pia.
3. Tafuta mashahidi ambao wamekuwa wakiishi na kumuona ibi yako akiishi hapo bila mgogoro wowote! Hao ni mashahidimuhimu sana.
4. Kaa na huyu :"mvamizi" mpeleleze atoe historia yake kwenye eneo bishaniwa inasemaje.
From such information above you can build your case more strongly compared to your opponent!
Nimepata shahidi mmoja ambae alikuwa akimlimia bibi tokea mwaka 20001. History of the shamba/eneo is very important. Tafuta/uliza/peleleza bibi yako hilo eneo alilipataje?
2. Kutoka 1980 mpaka leo ni miaka mingapi? Huyu anayedai sasa alikuwa wapi muda wote huo? Peleleza upate jibu la hilo pia.
3. Tafuta mashahidi ambao wamekuwa wakiishi na kumuona ibi yako akiishi hapo bila mgogoro wowote! Hao ni mashahidimuhimu sana.
4. Kaa na huyu :"mvamizi" mpeleleze atoe historia yake kwenye eneo bishaniwa inasemaje.
From such information above you can build your case more strongly compared to your opponent!
Mvamizi ni mtu wa karibu na bibi yako (ndugu)?Msaada ndugu nina mgogoro wa ardhi mahali ambapo bibi yangu alikuwa analima kuanzia miaka ya 80 na sidhani kama aliwai kuwa na hati ya ilo eneo ila ndio mahali tumekuwa tukipata mazao ya kula kama familia sasa kuna mtu amevamia eneo baada ya bibi kufariki sasa je ntaweza vipi kuthibitisha ilo eneo ni la bibi yangu ili niweze kupata haki yangu kisheria
!nawasilisha
Labda kuna ndugu wa bibi yako mashamba yao yanapakana?Hapana sio mtu wa karbu
huo ni shahidi muhimu sana.Nimepata shahidi mmoja ambae alikuwa akimlimia bibi tokea mwaka 2000