Msaada flat TV ya LG

Msaada flat TV ya LG

naomba kuuliza....
Ivi kwanini hizo TV za LG huwa hazitumiki maofisi mengi ya kiserikali ...? LG ni AC tu labda.
 
Budget mkuu.

Mfano ofisi ina bajeti ya matumizi mengine 5M, je mtanunua Curved Samsung nchi 65 ama bora kununua Hisense 58" kwa 1.4M na 3.6M mkanunua Fridge, Heater ya maji, Min fridge na makorokoro mengine.

Kikubwa ni bajeti mkuu ila kwenye taasisi yenye hela kama TRA, BOT, TANESCO nk wao bajeti kwao sio shida sana utakuta vitu ama furnitures zao ni za kiwango cha kimataifa.
 
Wakuu Nina TV ya LG ila picha haionyeshi vizuri, inakuwa na Blue iliyozidi kiasi haionekani vizuri,,
Habari mkuu, mara nyingi hii inasababishwa na kioo kufutiwa na kitambaa chenye unyevu unyevu, au kuweke tv eneo linalofikiwa na miale ya jua kirahisi. Waweza wasilina na service center wa LG kwa simu no. 0800 785454 ni free call. Msaada zaidi unaweza fika kwenye offisi zetu Mlimani city mall. Karibu
 
Asante sana mkuu
 
Budget mkuu.

Mfano ofisi ina bajeti ya matumizi mengine 5M, je mtanunua Curved Samsung nchi 65 ama bora kununua Hisense 58" kwa 1.4M na 3.6M mkanunua Fridge, Heater ya maji, Min fridge na makorokoro mengine.

Kikubwa ni bajeti mkuu ila kwenye taasisi yenye hela kama TRA, BOT, TANESCO nk wao bajeti kwao sio shida sana utakuta vitu ama furnitures zao ni za kiwango cha kimataifa.

TRA,BOT,TANESCO wana furnichure mbovu sio za dunia hii,yaano ofisi ikiwa ya serikali ni utumbo wa bata.

nenda taasisi binafsi za fedha ukaone maajabu.
 
Habari mkuu, mara nyingi hii inasababishwa na kioo kufutiwa na kitambaa chenye unyevu unyevu, au kuweke tv eneo linalofikiwa na miale ya jua kirahisi. Waweza wasilina na service center wa LG kwa simu no. 0800 785454 ni free call. Msaada zaidi unaweza fika kwenye offisi zetu Mlimani city mall. Karibu
👍
 
Back
Top Bottom