Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Budget mkuunaomba kuuliza....
Ivi kwanini hizo TV za LG huwa hazitumiki maofisi mengi ya kiserikali ...? LG ni AC tu labda.
Budget mkuu.naomba kuuliza....
Ivi kwanini hizo TV za LG huwa hazitumiki maofisi mengi ya kiserikali ...? LG ni AC tu labda.
Habari mkuu, mara nyingi hii inasababishwa na kioo kufutiwa na kitambaa chenye unyevu unyevu, au kuweke tv eneo linalofikiwa na miale ya jua kirahisi. Waweza wasilina na service center wa LG kwa simu no. 0800 785454 ni free call. Msaada zaidi unaweza fika kwenye offisi zetu Mlimani city mall. KaribuWakuu Nina TV ya LG ila picha haionyeshi vizuri, inakuwa na Blue iliyozidi kiasi haionekani vizuri,,
Asante sana mkuuHabari mkuu, mara nyingi hii inasababishwa na kioo kufutiwa na kitambaa chenye unyevu unyevu, au kuweke tv eneo linalofikiwa na miale ya jua kirahisi. Waweza wasilina na service center wa LG kwa simu no. 0800 785454 ni free call. Msaada zaidi unaweza fika kwenye offisi zetu Mlimani city mall. Karibu
Budget mkuu.
Mfano ofisi ina bajeti ya matumizi mengine 5M, je mtanunua Curved Samsung nchi 65 ama bora kununua Hisense 58" kwa 1.4M na 3.6M mkanunua Fridge, Heater ya maji, Min fridge na makorokoro mengine.
Kikubwa ni bajeti mkuu ila kwenye taasisi yenye hela kama TRA, BOT, TANESCO nk wao bajeti kwao sio shida sana utakuta vitu ama furnitures zao ni za kiwango cha kimataifa.
👍Habari mkuu, mara nyingi hii inasababishwa na kioo kufutiwa na kitambaa chenye unyevu unyevu, au kuweke tv eneo linalofikiwa na miale ya jua kirahisi. Waweza wasilina na service center wa LG kwa simu no. 0800 785454 ni free call. Msaada zaidi unaweza fika kwenye offisi zetu Mlimani city mall. Karibu