Msaada FOREX

WALDO

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2019
Posts
392
Reaction score
375
Wadau wa forex kuna investor kanipa akaunti yake halafu tugawane asilimia ya kitakachopatikana kadeposit dola 3500$.

Ila kwa bahati mbaya bado sina uzoefu wa kutosha kwenye hii mishe .je msaada wa mtaalmu yeyote anisaidie kudrive hii akaunti
 
Huo ndo utapeli. Ilikuaje akakupa kama huna uzoefu. Kuweni tayari kupelekwa kingi kwenye hili suala.

Mda tu ukiambiwa chochote kuwa umtumie jamaa hela sijui muimiliki ninyi hiyo account ujue umeshapigwa Pu.mbu
 
Kijana unakaribishawa MakoTrend.
wadau Wa forex kuna investor kanipa akaunti yake halafu tugawane asilimia ya kitakachopatikana kadeposit dola 3500$.
Ila kwa bahati mbaya bado sina uzoefu wa kutosha kwenye hii mishe .je msaada wa mtaalmu yeyote anisaidie kudrive hii akaunti
 
wadau Wa forex kuna investor kanipa akaunti yake halafu tugawane asilimia ya kitakachopatikana kadeposit dola 3500$.
Ila kwa bahati mbaya bado sina uzoefu wa kutosha kwenye hii mishe .je msaada wa mtaalmu yeyote anisaidie kudrive hii akaunti
Whatsapp me 0714132075
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…