Msaada FOREX

Msaada FOREX

utaunguza akaunti mbili,tatu kwanza ndo akili itakukaa sawa sawia
Aisee basi ngoja nisubir niwe na backup money ili likitokea la kutokea natuliza akili kidogo then unarudi mchezoni
 
wadau Wa forex kuna investor kanipa akaunti yake halafu tugawane asilimia ya kitakachopatikana kadeposit dola 3500$.
Ila kwa bahati mbaya bado sina uzoefu wa kutosha kwenye hii mishe .je msaada wa mtaalmu yeyote anisaidie kudrive hii akaunti
Nakupa ushauri wa MUHIMU SAAANA.

Rudisha PESA za watu, Forex kwa kutumia pesa ya mtu itakufunga, especially kama hujawa master.

VINGINEVYO IPO SIKU UTANIKUMBUKA. AMIN NAKWAMBIA

Hebu jamani msimdanganye mwenzenu, msianze kumpa namba alafu mwisho wa siku mkamkimbia..mpeni ushauri wa kindugu, ambao ni kurudisha pesa za watu..

Kam unataka kujifunza kachukue ela za demo mbona nyingi tu..usawa huu utalipishwa 3.5k $ alaf useme dunia mbaya
 
Hahahahaha mbona jamaa anapostigi ma blue chart tu ..ile strategy yake ya Mk45 imefeli nini..??
Unamchanganya na +255 millionaire uyo ye yakee ni fx money industry ndo INA kashfa ya kupoteza zaidi ya 1billion za kitz za investor nae kakir kupitia page yakee kwamba anafanya utaratibu was kuricover
 
Aisee basi ngoja nisubir niwe na backup money ili likitokea la kutokea natuliza akili kidogo then unarudi mchezoni
Fungua account kwa Templer CENT ACCOUNT udeposit $5 au ata $10 ndio uchezee so ata ukiunguza hiyo haiumi kuliko kutrade demo. Real account ina raha yake kwanza unakuwa serious sana kwenye kutrade. Ukicheza na demo sna unakuwa muoga mimi nilianzaga na $ 2 ikaungua nikaweka $5 nkipatapa $ 15 nikasimama kama week then nikaingia tena na $5 ikaungua sikukata tamaa nikadeposit $25 kwenye standard account ndio mpaka leo sijatoka ila uwe makini sna na LOT SIZE usizidi 0.01 usije ukashindana na wanaoweka LOT SIZE ya 1 hao wana Capital kubwa.
# WEKEZA KILE AMBACHO UNAWEZA KUSTAHIMILI KUPOTEZA NA UKAWA SAWA #
 
Nakupa ushauri wa MUHIMU SAAANA.

Rudisha PESA za watu, Forex kwa kutumia pesa ya mtu itakufunga, especially kama hujawa master.

VINGINEVYO IPO SIKU UTANIKUMBUKA. AMIN NAKWAMBIA

Hebu jamani msimdanganye mwenzenu, msianze kumpa namba alafu mwisho wa siku mkamkimbia..mpeni ushauri wa kindugu, ambao ni kurudisha pesa za watu..

Kam unataka kujifunza kachukue ela za demo mbona nyingi tu..usawa huu utalipishwa 3.5k $ alaf useme dunia mbaya
mkuu sio mtanzania ni mmisri huko kwahiyo hawez kuja
 
kila kitu kinakibidhi hata nikitaka kutoa fresh 40% profit ndo yangu
Si kwamba nakutania nipo sirias ktk hi biz ndo mkate wangu hi in moja ya acc ninayo manage
Screenshot_20190422-173934.jpeg
 
Nakupa ushauri wa MUHIMU SAAANA.

Rudisha PESA za watu, Forex kwa kutumia pesa ya mtu itakufunga, especially kama hujawa master.

VINGINEVYO IPO SIKU UTANIKUMBUKA. AMIN NAKWAMBIA

Hebu jamani msimdanganye mwenzenu, msianze kumpa namba alafu mwisho wa siku mkamkimbia..mpeni ushauri wa kindugu, ambao ni kurudisha pesa za watu..

Kam unataka kujifunza kachukue ela za demo mbona nyingi tu..usawa huu utalipishwa 3.5k $ alaf useme dunia mbaya
Huwezi fungwa we acha uoga we hi una msignisha risk disclouser alafu anafungua account yake through affitlate link yako kupitia broker wako au kama anatumia broker wake anakupa investor password yake

We kazi yako kubwa ni kutumia strategy yako na kua apply risk management/money management kiufasaha labda ujishtak mwenyewe
 
Fungua account kwa Templer CENT ACCOUNT udeposit $5 au ata $10 ndio uchezee so ata ukiunguza hiyo haiumi kuliko kutrade demo. Real account ina raha yake kwanza unakuwa serious sana kwenye kutrade. Ukicheza na demo sna unakuwa muoga mimi nilianzaga na $ 2 ikaungua nikaweka $5 nkipatapa $ 15 nikasimama kama week then nikaingia tena na $5 ikaungua sikukata tamaa nikadeposit $25 kwenye standard account ndio mpaka leo sijatoka ila uwe makini sna na LOT SIZE usizidi 0.01 usije ukashindana na wanaoweka LOT SIZE ya 1 hao wana Capital kubwa.
# WEKEZA KILE AMBACHO UNAWEZA KUSTAHIMILI KUPOTEZA NA UKAWA SAWA #
Bora wewe unamwabia ukweli...Hizi ela za ku download zina shida saana ukizivaa kwa pupa
 
wewe nidhamu ndogo utapoteza hela ya watu hizo lot size kwa akaunti kama hiyo ikienda against pips kidg tu majivu
walaa ingekataa ilikua only 50 USD ndo ingepotea, suala in maarifa na strategy yangu
 
wewe nidhamu ndogo utapoteza hela ya watu hizo lot size kwa akaunti kama hiyo ikienda against pips kidg tu majivu
Ngoja na Leo ntakuletea account ingine mtaji 18usd Ila lot inazid 0.25 lot na haiungui na ninatumia stoploss na ahit tena buy eurusd 10:28
 
Back
Top Bottom