Msaada FOREX

Msaada FOREX

Mkuu hiyo ni gawio lako kila mwezi. 25% of investment
Nmejifunza forex from these guys
wewe ndo unatakiwa update hiyo
Screenshot_2019-04-22-16-13-19.jpeg
 
Hio 25% aliokupa ni kubwa sana ila sikushauri kuekeza bila kufanya utafiti wa kina juu ya company yake. Kwenye cryptocurrency na stock market $3,500 kama mzoefu unaweza kuifanya $10,000 au zaidi ya hapo. Leo kuna stock ya RHE Friday ilikuwa $1.08 leo inatembea na $3.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
ww ndo unapaswa upate hiyo 25%na mwenye akaunti 75%
Duh mkuu inaonekana hujui maana ya gawio la 25% sasa huko Forex unakwenda poteza hela yako tu.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Duh mkuu inaonekana hujui maana ya gawio la 25% sasa huko Forex unakwenda poteza hela yako tu.

Ndukiiiii [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
Mi sijaweka hela mkuu nimepewa niendeshe
 
Kwa wiki tu naifikisha dola elfu kumi, na wengineo mnaotaka hi service just PM me
 
ukichoma inakuwaje au ndo unaingia mitini
Haiwezi chomwa nipo stickly ktk risk management na entry zangu zina matter pia

ye si kakupa investor password yani anaona unachokifanya na asses ya kuwithdrawal anayo yeye na deposit

Anakulipaje mmekubalianaje ametumia broker gani ktk deposit na return ya mwezi umemuahidi asilimia ngap
 
kila kitu kinakibidhi hata nikitaka kutoa fresh 40% profit ndo yangu
 
Back
Top Bottom