wewe ndo unatakiwa update hiyo
Hio 25% aliokupa ni kubwa sana ila sikushauri kuekeza bila kufanya utafiti wa kina juu ya company yake. Kwenye cryptocurrency na stock market $3,500 kama mzoefu unaweza kuifanya $10,000 au zaidi ya hapo. Leo kuna stock ya RHE Friday ilikuwa $1.08 leo inatembea na $3.
Duh mkuu inaonekana hujui maana ya gawio la 25% sasa huko Forex unakwenda poteza hela yako tu.ww ndo unapaswa upate hiyo 25%na mwenye akaunti 75%
Mkuu mnatumia mtandao gani kwa mawasiliano?? Bora mgefungua Discord account.Mkuu hiyo ni gawio lako kila mwezi. 25% of investment
Nmejifunza forex from these guysView attachment 1078273
Same ID na mtoa mada.Njoo PM mkuuu....I am the best tader. Na kwawanaohitaji account management mnakaribishwa. Unadeposit kuanzia dola 200 kwa mwezi nakupa 25% of investment
Ushauri wangu usiwekeze kama huna uzoefuMi sijaweka hela mkuu nimepewa niendeshe
Kachoma akaunt za watu uyo anadaiwaHahahaha mtafute jamaa mmoja anajiita fransisco magnetics atakusaidia
Bure aghali.wewe huwezi mkuu
Haiwezi chomwa nipo stickly ktk risk management na entry zangu zina matter piaukichoma inakuwaje au ndo unaingia mitini
kila kitu kinakibidhi hata nikitaka kutoa fresh 40% profit ndo yanguHaiwezi chomwa nipo stickly ktk risk management na entry zangu zina matter pia
ye si kakupa investor password yani anaona unachokifanya na asses ya kuwithdrawal anayo yeye na deposit
Anakulipaje mmekubalianaje ametumia broker gani ktk deposit na return ya mwezi umemuahidi asilimia ngap
Khantwe bado unatrade?Unatafuta kuchoma hela za watu wewe
Hivi huyo mwana yuko vizuri? Niliona tu clip yake mahali fulaniHahahaha mtafute jamaa mmoja anajiita fransisco magnetics atakusaidia
Hapana nimesimama kwa mudaKhantwe bado unatrade?
Anhaaa! Mungu anipe ujasiri kwakweli siku niingie mzima mzima! Sasa hivi kila nikitaka kuingia roho inaniuma😂😂Hapana nimesimama kwa muda