[emoji23][emoji23][emoji23] unatakiwa ujipange kwa kweli usikurupuke. Umeshatrade demo?Anhaaa! Mungu anipe ujasiri kwakweli siku niingie mzima mzima! Sasa hivi kila nikitaka kuingia roho inaniuma[emoji23][emoji23]
Ndo nahangaika nayo hapa + vitabu![emoji23][emoji23][emoji23] unatakiwa ujipange kwa kweli usikurupuke. Umeshatrade demo?
Hangaika nayo tu. Hadi uwe consistent profitable kwenye demo ndio uhamie realNdo nahangaika nayo hapa + vitabu!
Yaani acha tu
👊👊👊👊👊Hangaika nayo tu. Hadi uwe consistent profitable kwenye demo ndio uhamie real
Aisee basi ngoja nisubir niwe na backup money ili likitokea la kutokea natuliza akili kidogo then unarudi mchezoniutaunguza akaunti mbili,tatu kwanza ndo akili itakukaa sawa sawia
75% unazuia mkuu. Unatumia strategy gani?Mkuu nakupa 25% of your investment monthly...Na kama unahitaji capital yako utachukua baada ya miezi 3.
Baada ya gawio profit inakuaje apo..Duh mkuu inaonekana hujui maana ya gawio la 25% sasa huko Forex unakwenda poteza hela yako tu.
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Hahahahaha mbona jamaa anapostigi ma blue chart tu ..ile strategy yake ya Mk45 imefeli nini..??Kachoma akaunt za watu uyo anadaiwa
Whatsapp me 0714132075
Nakupa ushauri wa MUHIMU SAAANA.wadau Wa forex kuna investor kanipa akaunti yake halafu tugawane asilimia ya kitakachopatikana kadeposit dola 3500$.
Ila kwa bahati mbaya bado sina uzoefu wa kutosha kwenye hii mishe .je msaada wa mtaalmu yeyote anisaidie kudrive hii akaunti
Unamchanganya na +255 millionaire uyo ye yakee ni fx money industry ndo INA kashfa ya kupoteza zaidi ya 1billion za kitz za investor nae kakir kupitia page yakee kwamba anafanya utaratibu was kuricoverHahahahaha mbona jamaa anapostigi ma blue chart tu ..ile strategy yake ya Mk45 imefeli nini..??
Fungua account kwa Templer CENT ACCOUNT udeposit $5 au ata $10 ndio uchezee so ata ukiunguza hiyo haiumi kuliko kutrade demo. Real account ina raha yake kwanza unakuwa serious sana kwenye kutrade. Ukicheza na demo sna unakuwa muoga mimi nilianzaga na $ 2 ikaungua nikaweka $5 nkipatapa $ 15 nikasimama kama week then nikaingia tena na $5 ikaungua sikukata tamaa nikadeposit $25 kwenye standard account ndio mpaka leo sijatoka ila uwe makini sna na LOT SIZE usizidi 0.01 usije ukashindana na wanaoweka LOT SIZE ya 1 hao wana Capital kubwa.Aisee basi ngoja nisubir niwe na backup money ili likitokea la kutokea natuliza akili kidogo then unarudi mchezoni
mkuu sio mtanzania ni mmisri huko kwahiyo hawez kujaNakupa ushauri wa MUHIMU SAAANA.
Rudisha PESA za watu, Forex kwa kutumia pesa ya mtu itakufunga, especially kama hujawa master.
VINGINEVYO IPO SIKU UTANIKUMBUKA. AMIN NAKWAMBIA
Hebu jamani msimdanganye mwenzenu, msianze kumpa namba alafu mwisho wa siku mkamkimbia..mpeni ushauri wa kindugu, ambao ni kurudisha pesa za watu..
Kam unataka kujifunza kachukue ela za demo mbona nyingi tu..usawa huu utalipishwa 3.5k $ alaf useme dunia mbaya
Si kwamba nakutania nipo sirias ktk hi biz ndo mkate wangu hi in moja ya acc ninayo managekila kitu kinakibidhi hata nikitaka kutoa fresh 40% profit ndo yangu
Huwezi fungwa we acha uoga we hi una msignisha risk disclouser alafu anafungua account yake through affitlate link yako kupitia broker wako au kama anatumia broker wake anakupa investor password yakeNakupa ushauri wa MUHIMU SAAANA.
Rudisha PESA za watu, Forex kwa kutumia pesa ya mtu itakufunga, especially kama hujawa master.
VINGINEVYO IPO SIKU UTANIKUMBUKA. AMIN NAKWAMBIA
Hebu jamani msimdanganye mwenzenu, msianze kumpa namba alafu mwisho wa siku mkamkimbia..mpeni ushauri wa kindugu, ambao ni kurudisha pesa za watu..
Kam unataka kujifunza kachukue ela za demo mbona nyingi tu..usawa huu utalipishwa 3.5k $ alaf useme dunia mbaya
Bora wewe unamwabia ukweli...Hizi ela za ku download zina shida saana ukizivaa kwa pupaFungua account kwa Templer CENT ACCOUNT udeposit $5 au ata $10 ndio uchezee so ata ukiunguza hiyo haiumi kuliko kutrade demo. Real account ina raha yake kwanza unakuwa serious sana kwenye kutrade. Ukicheza na demo sna unakuwa muoga mimi nilianzaga na $ 2 ikaungua nikaweka $5 nkipatapa $ 15 nikasimama kama week then nikaingia tena na $5 ikaungua sikukata tamaa nikadeposit $25 kwenye standard account ndio mpaka leo sijatoka ila uwe makini sna na LOT SIZE usizidi 0.01 usije ukashindana na wanaoweka LOT SIZE ya 1 hao wana Capital kubwa.
# WEKEZA KILE AMBACHO UNAWEZA KUSTAHIMILI KUPOTEZA NA UKAWA SAWA #
wewe nidhamu ndogo utapoteza hela ya watu hizo lot size kwa akaunti kama hiyo ikienda against pips kidg tu majivuSi kwamba nakutania nipo sirias ktk hi biz ndo mkate wangu hi in moja ya acc ninayo manageView attachment 1078653
walaa ingekataa ilikua only 50 USD ndo ingepotea, suala in maarifa na strategy yanguwewe nidhamu ndogo utapoteza hela ya watu hizo lot size kwa akaunti kama hiyo ikienda against pips kidg tu majivu
Ngoja na Leo ntakuletea account ingine mtaji 18usd Ila lot inazid 0.25 lot na haiungui na ninatumia stoploss na ahit tena buy eurusd 10:28wewe nidhamu ndogo utapoteza hela ya watu hizo lot size kwa akaunti kama hiyo ikienda against pips kidg tu majivu