Ramli chonganishi!!!Wakati ulienda kimya kimya jangid kuchukua maujuzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Currencies' market is world economy tangu lini nchi sarafu zote zi crush labda aliens waje kuvamia kuiba pesa na hazina ktk mabenk ya duniaIts not as easy as you lead us to believe. Kama ingekuwa that easy Bakhresa asingehangaika na maviwanda.
Hiyo ni artificial manipulation ya currency, iko siku moja watasema tu market ime crush na wata wipe off pesa zote ndani ya accounts.
Kwasasa usiende huyo Fransisco hadi sasa hivi hizo hela za mainvestor bado hajarudisha.....isitoshe huwezi kumpata ofisi zimefungwa piaKwa iyo mkuu mimi nilitaka nikawekeze pale ..nisiende tena?
mkuu unapiga ramli kwenye vitu ambavyo hujawah Fanya hata mt4 huenda huijuiIts not as easy as you lead us to believe. Kama ingekuwa that easy Bakhresa asingehangaika na maviwanda.
Hiyo ni artificial manipulation ya currency, iko siku moja watasema tu market ime crush na wata wipe off pesa zote ndani ya accounts.
Mimi sijui chochote mkuu! All I.know is, "if it is too good to be true then it is" Thats a very basic financial principle.mkuu unapiga ramli kwenye vitu ambavyo hujawah Fanya hata mt4 huenda huijui
mkuu hivi kwanini mlikuwa kimya mpk Ontario ndo akaja kufumbua hii kitu kwa wengi. Na baada ya hapo na semina mbalimbali zikaanza kila mahaliMimi binafsi nafanya Forex tangu mwaka 2015-16... Kwa uzoefu wangu mdogo sio rahisi kupambana na soko la Forex Kama story zinavyopigwa hapa. Kibaha zaidi Leo hii MTU akijua candlestick & resistance atakuwa lna yeye account manager au Forex trainer.
Nina baadhi ya marafiki zangu nimewafundisha Forex ila eti nao sasa hivi ni account manager. Ameshachoma account za watu mpaka basi. Kila siku kesi.
Mimi nakushauri kama huna huo uwezo angalia namna gani ya kumueleza huyo Partner wako ili usimpoteze huko mbeleni utakapo kuwa vizuri zaidi kwenye Forex . Utaambiwa kila aina ya maneno hapa kuwa watu wana uwezo wa kufikisha kiasi kadhaa ila kwa uzoefu wangu , Don't Trust Haya maneno, tena kwa mtanznia ambae hajakupa kiwango cha ukwasi wake kuwa kama akiunguza account atafanya refund ya kiasi gani tena kwenye account yako.
Kuna jamaa inaitwa cre aliunguza account ya dola laki 2 za investors. Kwasawa nasikia yupo Kenya .. Majuzi tena kuna huyo Dogo anaitwa magnetic amewapigisha majivu wadau wake pia zaidi ya billion 1 tsh .. So please soma alama za nyakati .. Soma wewe kama wewe. Then ingia sokoni mwenyewe au tafute brokerage NZURI za nje ya nchi wanaweza kukusaidia kukupa hata good signals na ukafika mbali sana ...
Ila nakuonya acha kuhadaika na maneno ya WABONGO. Narudia tena ACHA KUHADAIKA NA MANENO YA WABONGO .
Wengi watakufuata inbox kwasababu ya hiyo capital. Na wengi hawajawahi kufikia hiyo amount .. MTU ambae ana hiyo capital kwenye real account yake hawezi kukimbizana kutafuta account ya kumanage kwa hicho kiasi.
NB: Simaanishi hakuna smart traders wa kitanzania. Wapo ila bahati mbaya wengi wao hata Instagram hawazijui. Good traders wapo tena haswaa.
So jitahidi kuchekecha kichwa chako ufanye maamuzi sahihi.
Una Uhakika Ontario ndio kaja kufumbua Forex ???mkuu hivi kwanini mlikuwa kimya mpk Ontario ndo akaja kufumbua hii kitu kwa wengi. Na baada ya hapo na semina mbalimbali zikaanza kila mahali
Sasa c Bora ukomae 2 yrs ujifunze mwnyw,achana na signalsKuna mentor matata sana anaitwa Hassan ni mmisiri hakika hutajuta anatoa signal na analysis ......njoo tuungane tulipie huduma .
Umesema ukweli mtupuMimi binafsi nafanya Forex tangu mwaka 2015-16... Kwa uzoefu wangu mdogo sio rahisi kupambana na soko la Forex Kama story zinavyopigwa hapa. Kibaha zaidi Leo hii MTU akijua candlestick & resistance atakuwa lna yeye account manager au Forex trainer.
Nina baadhi ya marafiki zangu nimewafundisha Forex ila eti nao sasa hivi ni account manager. Ameshachoma account za watu mpaka basi. Kila siku kesi.
Mimi nakushauri kama huna huo uwezo angalia namna gani ya kumueleza huyo Partner wako ili usimpoteze huko mbeleni utakapo kuwa vizuri zaidi kwenye Forex . Utaambiwa kila aina ya maneno hapa kuwa watu wana uwezo wa kufikisha kiasi kadhaa ila kwa uzoefu wangu , Don't Trust Haya maneno, tena kwa mtanznia ambae hajakupa kiwango cha ukwasi wake kuwa kama akiunguza account atafanya refund ya kiasi gani tena kwenye account yako.
Kuna jamaa inaitwa cre aliunguza account ya dola laki 2 za investors. Kwasawa nasikia yupo Kenya .. Majuzi tena kuna huyo Dogo anaitwa magnetic amewapigisha majivu wadau wake pia zaidi ya billion 1 tsh .. So please soma alama za nyakati .. Soma wewe kama wewe. Then ingia sokoni mwenyewe au tafute brokerage NZURI za nje ya nchi wanaweza kukusaidia kukupa hata good signals na ukafika mbali sana ...
Ila nakuonya acha kuhadaika na maneno ya WABONGO. Narudia tena ACHA KUHADAIKA NA MANENO YA WABONGO .
Wengi watakufuata inbox kwasababu ya hiyo capital. Na wengi hawajawahi kufikia hiyo amount .. MTU ambae ana hiyo capital kwenye real account yake hawezi kukimbizana kutafuta account ya kumanage kwa hicho kiasi.
NB: Simaanishi hakuna smart traders wa kitanzania. Wapo ila bahati mbaya wengi wao hata Instagram hawazijui. Good traders wapo tena haswaa.
So jitahidi kuchekecha kichwa chako ufanye maamuzi sahihi.
Wakubwa, Pale Jangid Plaza Ontario ameacha kutoa mafunzo? Gharama yake ni kiasi gani kwa sasa??
Jaribu kupitia forum kama hizi Worrior forum, Digest, Quora hzo ni platform huru kama ilivyo jamii forum utaona watu wa ulimwenguni wanavyopiga pesa ila hawachezi kwa kubahatisha kama sisi tunavyocheza. Kuna vitu muhmu lazima uzijue na uwe ni mfuatiliaj wa news but endeleen tu kusema hvyo hvyo coz kuna wengine lazima wawe kama wewe ili life lisonge. Unadhani kama kila mtu angekuwa millionaire nan angemtumikisha mwingine?umeamua kuwekeza kwenye kamari
nichek 0758217840 if you are seriouslywadau Wa forex kuna investor kanipa akaunti yake halafu tugawane asilimia ya kitakachopatikana kadeposit dola 3500$.
Ila kwa bahati mbaya bado sina uzoefu wa kutosha kwenye hii mishe .je msaada wa mtaalmu yeyote anisaidie kudrive hii akaunti
oksipo seriously .