Msaada-fundi gari mzuri

BabaTina

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2008
Posts
429
Reaction score
581
Wadau naomba msaada kuna kigari changu kinanisumbua sana nshabadili sensor kadha lakini bado kinazima mara nyingi na kuwasha check engine...pia kina vibrate sana na mlio wake kwenye bomba ya kutoa moshi umebadilika...
Mwenye namba tafadhali anisaidie hapa ya fundi mzuri na mwaminifu
 
Kuna mtaalamu mmoja huku Keko Mwanga karibu na jengo la Maliasili. Huyo namkubali sana. Nitakupa namba yake mida sasa hivi sinayo iko kwenye simu B.
 
Kuna mtaalamu mmoja huku Keko Mwanga karibu na jengo la Maliasili. Huyo namkubali sana. Nitakupa namba yake mida sasa hivi sinayo iko kwenye simu B.
Fanya hivo mkuu
 
Gari zinatofautiana na mafundi makini wame-specialize kwenye gari fulani. Gari yako aina gani?
 
Passo boss

Kuna garage ipo Ubungo Darajani karibu na Land Mark sijui jina lake ila wapo vizuri mafundi wao wamespecialize kwa aina za magari, wasichokijua wanakwambia na wanakushauri kwa kuipeleka gari
 
Kuna garage ipo Ubungo Darajani karibu na Land Mark sijui jina lake ila wapo vizuri mafundi wao wamespecialize kwa aina za magari, wasichokijua wanakwambia na wanakushauri kwa kuipeleka gari
Shukrani mkuu nimepitia pia mtandaoni nikasoma habari zao na wewe pia umechagiza nauchukua ushauri wako na kuufanyia utafiti wa kujiridisha...bless
 
Umeshakipima kwa 'Diagnosis machine' kujua tatizo? Au unabadili sensor blindly?
 
Ukiweza pia karibu chuo cha taifa cha usafirishaji nitakufanyia kazi yako bila tatizo, mimi ni mhadhiri ktk chuo hicho tunavyovifaa vya kufanyia kazi ya magari katika ubora unaokubalika kwa mjibu wa wawatengenezaji.
unaweza nitafufa kwa 0757930779 whatsap au kawaida. Pia kwa yeyote mwenye tatizo na gari lake au anayehitaji msaada wa aina yoyote kuhusu gari usisite kunitafuta utapata ushauri na tiba ya kitaalamu.
 
Unatengeneza kama chuo au private? Chuo kina gereji pale?
 
Huyu wa chuo atakuulia gari anataka awape wanafunzi wajifunzie sikushauri upeleke gar huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…