Msaada-fundi gari mzuri

Msaada-fundi gari mzuri

Kuna fundi yupo ilala anafanya diagnosis then anatengeneza. Namba yake ni 0716103240. Alinitengenezea porte yangu.
 
Umeshakipima kwa 'Diagnosis machine' kujua tatizo? Au unabadili sensor blindly?
Nshapima sana mkuu...kila nikipima tunajua tatizo Mara nyingi no sensor zinakuwa shida nshabili karibu sensor 3 sasa...so juzi ikaawasha OD ikawa inaflash/blink na gear zikagoma kuchanganya inavyopaswa
 
Nshapima sana mkuu...kila nikipima tunajua tatizo Mara nyingi no sensor zinakuwa shida nshabili karibu sensor 3 sasa...so juzi ikaawasha OD ikawa inaflash/blink na gear zikagoma kuchanganya inavyopaswa
Okay, pima tena kwa mashine na ujue tatizo
 
Ukiweza pia karibu chuo cha taifa cha usafirishaji nitakufanyia kazi yako bila tatizo, mimi ni mhadhiri ktk chuo hicho tunavyovifaa vya kufanyia kazi ya magari katika ubora unaokubalika kwa mjibu wa wawatengenezaji.
unaweza nitafufa kwa 0757930779 whatsap au kawaida. Pia kwa yeyote mwenye tatizo na gari lake au anayehitaji msaada wa aina yoyote kuhusu gari usisite kunitafuta utapata ushauri na tiba ya kitaalamu.
Msalimie ndugu Michael Jackson Kyando hapo NIT mkuu.
 
Kuna garage ipo Ubungo Darajani karibu na Land Mark sijui jina lake ila wapo vizuri mafundi wao wamespecialize kwa aina za magari, wasichokijua wanakwambia na wanakushauri kwa kuipeleka gari
Elekeza fresh mkuu, darajani upande gani? Kama unatoka songas au kama unaenda songas?
 
Angalia kwenye bomba la kutolea moshi lazima kuna leakage, kutakuwa na sehemu imetoboka wakachomee.


Kwenye check engine ukipata fundi mzuri wakifunga detector machine itaonyesha kama ni sensor, plug etc na ikibadilishwa tatizo.litakuwa limekwisha
 
Elekeza fresh mkuu, darajani upande gani? Kama unatoka songas au kama unaenda songas?


Ukitoka Songas kwenda Buguruni, unavuka daraja then unatazama kushoto kabla hujafika Landmark karibu na hapo zinaposimama daladala
 
Back
Top Bottom