kajogorowika
New Member
- Dec 29, 2015
- 4
- 2
Kuna fundi yupo ilala anafanya diagnosis then anatengeneza. Namba yake ni 0716103240. Alinitengenezea porte yangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
All the bestShukrani mkuu...ntacheki naye
0755284897Fanya hivo mkuu
Nshapima sana mkuu...kila nikipima tunajua tatizo Mara nyingi no sensor zinakuwa shida nshabili karibu sensor 3 sasa...so juzi ikaawasha OD ikawa inaflash/blink na gear zikagoma kuchanganya inavyopaswaUmeshakipima kwa 'Diagnosis machine' kujua tatizo? Au unabadili sensor blindly?
Okay, pima tena kwa mashine na ujue tatizoNshapima sana mkuu...kila nikipima tunajua tatizo Mara nyingi no sensor zinakuwa shida nshabili karibu sensor 3 sasa...so juzi ikaawasha OD ikawa inaflash/blink na gear zikagoma kuchanganya inavyopaswa
Msalimie ndugu Michael Jackson Kyando hapo NIT mkuu.Ukiweza pia karibu chuo cha taifa cha usafirishaji nitakufanyia kazi yako bila tatizo, mimi ni mhadhiri ktk chuo hicho tunavyovifaa vya kufanyia kazi ya magari katika ubora unaokubalika kwa mjibu wa wawatengenezaji.
unaweza nitafufa kwa 0757930779 whatsap au kawaida. Pia kwa yeyote mwenye tatizo na gari lake au anayehitaji msaada wa aina yoyote kuhusu gari usisite kunitafuta utapata ushauri na tiba ya kitaalamu.
Elekeza fresh mkuu, darajani upande gani? Kama unatoka songas au kama unaenda songas?Kuna garage ipo Ubungo Darajani karibu na Land Mark sijui jina lake ila wapo vizuri mafundi wao wamespecialize kwa aina za magari, wasichokijua wanakwambia na wanakushauri kwa kuipeleka gari
Du aya magari mengine sasa,mara porte,mara passo sijui poston ngapi hivi yanatembea?Kuna fundi yupo ilala anafanya diagnosis then anatengeneza. Namba yake ni 0716103240. Alinitengenezea porte yangu.
Toyota porte ni gari yenye cylinder 4 na cc 1490. Kila mtu anajikuna anapofikia.Du aya magari mengine sasa,mara porte,mara passo sijui poston ngapi hivi yanatembea?
Si kweli mwanafunzi ataua gari yako ila hufuaata steps zote chini ya uangalizi wa mwalimu siku zoteHuyu wa chuo atakuulia gari anataka awape wanafunzi wajifunzie sikushauri upeleke gar huko
Elekeza fresh mkuu, darajani upande gani? Kama unatoka songas au kama unaenda songas?
Nlitania mkuu mimi mwenyewe nna corolla 111 namba AToyota porte ni gari yenye cylinder 4 na cc 1490. Kila mtu anajikuna anapofikia.