BabaTina
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 429
- 581
Wadau naomba msaada kuna kigari changu kinanisumbua sana nshabadili sensor kadha lakini bado kinazima mara nyingi na kuwasha check engine...pia kina vibrate sana na mlio wake kwenye bomba ya kutoa moshi umebadilika...
Mwenye namba tafadhali anisaidie hapa ya fundi mzuri na mwaminifu
Mwenye namba tafadhali anisaidie hapa ya fundi mzuri na mwaminifu