Msaada-fundi gari mzuri

Kuna fundi yupo ilala anafanya diagnosis then anatengeneza. Namba yake ni 0716103240. Alinitengenezea porte yangu.
 
Umeshakipima kwa 'Diagnosis machine' kujua tatizo? Au unabadili sensor blindly?
Nshapima sana mkuu...kila nikipima tunajua tatizo Mara nyingi no sensor zinakuwa shida nshabili karibu sensor 3 sasa...so juzi ikaawasha OD ikawa inaflash/blink na gear zikagoma kuchanganya inavyopaswa
 
Okay, pima tena kwa mashine na ujue tatizo
 
Msalimie ndugu Michael Jackson Kyando hapo NIT mkuu.
 
Kuna garage ipo Ubungo Darajani karibu na Land Mark sijui jina lake ila wapo vizuri mafundi wao wamespecialize kwa aina za magari, wasichokijua wanakwambia na wanakushauri kwa kuipeleka gari
Elekeza fresh mkuu, darajani upande gani? Kama unatoka songas au kama unaenda songas?
 
Angalia kwenye bomba la kutolea moshi lazima kuna leakage, kutakuwa na sehemu imetoboka wakachomee.

Kwenye check engine ukipata fundi mzuri wakifunga detector machine itaonyesha kama ni sensor, plug etc na ikibadilishwa tatizo.litakuwa limekwisha
 
Huyu wa chuo atakuulia gari anataka awape wanafunzi wajifunzie sikushauri upeleke gar huko
Si kweli mwanafunzi ataua gari yako ila hufuaata steps zote chini ya uangalizi wa mwalimu siku zote
 
Elekeza fresh mkuu, darajani upande gani? Kama unatoka songas au kama unaenda songas?

Ukitoka Songas kwenda Buguruni, unavuka daraja then unatazama kushoto kabla hujafika Landmark karibu na hapo zinaposimama daladala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…