Msaada gari imegoma kuwaka

Gari itapataje moto wakati imegoma kuwaka?
 
Imegoma kuwaka labda umemwagia mafuta ya taa afuu ndo ukatiaa kiberiti... Wew mwagia petrol afu tiaa kiberiti uone kama itagoma kuwaka..!!
 
Kiutaratibu unakagua Gari kabla ya kuiwasha,hill ni kosa injini ikiwaka oil inapandishwa juu hivyo huwezi kupata matokeo mazuri,pili feni zilipata mzigo ikabidi iunguze fuse,cheki fuse box kunafuse ya honi na feni badiliasha itawaka mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…