Msaada gari imegoma kuwaka

Msaada gari imegoma kuwaka

4870c27227b70cb8e250e4e8f953cd31.jpg

Kama hizi mkuu
Asante mkuu...mbona kwangu hayapo haya? Haki mda mwingi nafungua boneti sijawahi yaona[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Feni haitakiwi kuzunguka ikiwa engine haipo moto. Kazi yake ni kupoza maji ya radiator yanapofika umoto fulani, ikiwa hayo maji hayakufika huo umoto basi feni haitakiwi kuzunguka. Feni nyengine huwa ni kwa ajili ya AC ila i believe unazungumzia kuhusu feni ya kupozea maji ya moto. Jaribu kusubiria gari ipate moto ule mshale wa temp ufike katikati, kisha subiria, ukiona mshare unaendelea kuvuka kati na kupata na feni haifanyi kazi, zima gari tizama fuse. Katika fuse box itakuonesha fuse ipi ipo wapi na namba nayotakiwa, kama sikosei fuse ya feni la radiator ipo obvious imeandikwa FAN, icheki kama iko powa. Kama haipo powa badilisha. Ukiona bado, mpelekee fundi akutiamie Thermostat.
Gari itapataje moto wakati imegoma kuwaka?
 
Imegoma kuwaka labda umemwagia mafuta ya taa afuu ndo ukatiaa kiberiti... Wew mwagia petrol afu tiaa kiberiti uone kama itagoma kuwaka..!!
 
Kiutaratibu unakagua Gari kabla ya kuiwasha,hill ni kosa injini ikiwaka oil inapandishwa juu hivyo huwezi kupata matokeo mazuri,pili feni zilipata mzigo ikabidi iunguze fuse,cheki fuse box kunafuse ya honi na feni badiliasha itawaka mkuu.
 
Back
Top Bottom