Msaada: Gari kuwa na miss na RPM kushuka

Petrol filter umewahi kubadili? Ulibadili genuine? Check kwanza hilo... Kumbuka ni petrol filter sio oil filter
Jr[emoji769]
 
NIMEFANYA DIAGNOSIS LAKIN HALIJAONESHA KAMA KUNA TATIZO ILA CHECK ENGINE INAWAKA FUNDI AKACHEK FUEL PUMP KUNA KIRABA KIMELIKA HAKIZUII MAFUTA VZURI NDO CHA KUBADILISHA

K vant
Haiwezekani mzee lazima isome ..anatumia mashine gani??.usisumbuke sana nitafute mm nitakupimia bureeee kabisa lkn ukihitaji nikutengenezee hapo ndio utagaramikia kiJF JF usihangaike sana mkuu..
 
Poa mkuu nakutafuta kesho
Haiwezekani mzee lazima isome ..anatumia mashine gani??.usisumbuke sana nitafute mm nitakupimia bureeee kabisa lkn ukihitaji nikutengenezee hapo ndio utagaramikia kiJF JF usihangaike sana mkuu..

K vant
 
Jibu zuri sana hili...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo tatzo nlikutana nalo mwaka huu ilipimwa bila shida kuonekana, nilinunua plugs nkajaza mfuko maana kila ukienda kwa mafundi wanadai plugs unanunua tu, engine ilibomolewa mara mbili bila tatzo kuisha, mwisho wasiku nikagundua tatzo mimi mwenyewe kuwa waya wa crankshaft sensor ulikuwa umekatika nikaweka sawa, naenjoy mpaka sasa gari ni namba B lakini mwenye namba D jipange.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…