Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Petrol filter umewahi kubadili? Ulibadili genuine? Check kwanza hilo... Kumbuka ni petrol filter sio oil filter
Jr[emoji769]
Habarini wakuu, nina gari Toyota Vits RS Manual Transmission. Hii gari ina matatizo yafuatayo:
1.Ina miss ambayo haiishi. Nimesafisha nozzel na plug zote ziko poa.
2. Ukiwasha gari asubuhi RPM inashuka mpaka inazima. Nimeshafanya adjustment ya silencer lakini ikikaa muda inashuka mpaka gari inazima na check engine inawaka baada ya kutembea umbali fulani shida inaweza kuwa nini maana
Jr[emoji769]