Kwa uzoefu tu engine ndogo kama hiyo 990cc sio suluhisho la gari kula vizuri mafuta,
Pili Kimara to Tegeta kupitia mwenge ni 25 km x 2 ni 50 km /5ltrs =10 km per litre hayo ni matumizi kawaida na sio high way tena mazuri sana kwa gari ndogo za toyota, nyingi zipo hadi 7 to 9 km per litre ? ?
Wakati mwingine huwa siwaelewi kabisa watanzania, au shule huwa tunaenda kufanya nini tena elimu ya darasa la nne tu, hapo usoni dash board inakuhesabia km kama ulitaka kuipima ilikujua ulaji ungeleta angalau viwango viwili kwamba toka kimara na kurudi nimetembea km 52 na nimetumia lita 5 maanake gari langu linatembea km 10.4 kwakila lita moja JE ULAJI HUU WADAU MNAUONAJE ? ? Usishangae ana diploma au hata degree