Msaada gari yangu aina ya Toyota Passo inakula sana mafuta

Msaada gari yangu aina ya Toyota Passo inakula sana mafuta

Umenunua UKIMWI...
Kuna dada mmoja ana passo yake kataguta mteja kakosaa....

Bora Vitz mara 1000..
Passo sio gar
 
Ni kweli mkuu nakumbuka nilmbeba dada mmoja yupo udom mwaka wa 2 Sasa ye anaish nkuhungu ,aliniomba nmsindike kwao nkamuulza kwa makadilio kutoka hapa town had kwenu ni km ngapi? akanijibu Mambo ya km ye hajuagi ila inaweza kua km 100 daa nilichekaa sanaa
km 100 daaah au alikua anamaanisha mita 100

ahahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23][emoji28][emoji28][emoji23] kiukweli wadada wana tatzo la kufikiri mfano kuna mdada ashawahi nletea simu eti playstore na whatsapp hazifanyi kazi bas mm nkaingia setting afu app afu nikaclear data then nkarud playstore nikaapdate whatsapp,,,nkamwambia nilipe 8000 na akalipa yaan daaah ktu ambacho angeingia tu utube na kutumia bando la buku kujifunza lakn anaona kaz ahahahah
 
Suluhisho la yote ni terios kid. Utafurahi na roho yako yaani mafuta kiduchu kama unatumia boxer 150
Hii gari ni very economical especially kama unaishi mazingira ya barabara mbaya na vilima..utainjoi..

Ila sasa inarusha rusha, hahahaa..[emoji3]kama lile gari la farasi tu...[emoji564][emoji564]
 
grizzman
Kwa haraka haraka jaribu kucheki
-nozzle
-plugs
-air cleaner (pengine Kama ulishawai ibadilisha na ukaweka ambayo sio sahihi kulingana na air ratio)
-Adjustment za brake pads pia husababisha hilo tatizo
Mcheki fundi akusaidie
 
Terrious kid ni bonge moja ya gari.kwenye mafuta sijawai kujuta na ni 4weel drive.kipindi Cha mvua wenye ist za kuhongwa uwa wanazipaki ndani barabara ya makoka natamba mie tu.
Ooh kumbe, asante. nilikuwa ninafikiria kununua hili gari japo sikuwa na uhakika kwenye barabara mbaya.Vipi kwenye rough road ya km 14 kwa siku litamudu mkuu?
 
habari zenu wana ndugu,

nimejichanga changa nimenunua ka passo kwa mtu lkn cha kushangaza kinakula mafuta vibaya nikiweka mafuta lita 5 natoka kimara to tegeta nakurudi inakua imeisha mafuta tatizo nn wadau.
nakaribisha maoni yunu nashukrani
View attachment 1140415
vip mkuu tatizo lako liliisha?maana mie nmekumbwa na tatizo hili japo yangu ni 1290cc
 
Back
Top Bottom