Msaada gari yangu aina ya Toyota Passo inakula sana mafuta

Na mbaya zaidi ni piston 3,ukipata kamwinuko kidogo shirti ugandamize kwa nguvu acceleratior
 
Kwa mjini huo ulaji ni standard.

Kikubwa ni kuangalia namna unavyo accelerate tu.

Acceleration ya Passo haiwezi fanana na Rav 4 ikiwa mnataka kwenda nkwa Momentum inayofanana..
 
Watu wengi wanakabiliwa na tatizo la uvivu wa kufikiri mkuu
Sijui ni Tanzania Afrika au ni dunia nzima.

Mambo mengine ni madogo tu lakini mtu anajiona yeye hawezi mambo. Hayo mfano mama yangu Mimi siyo mzee sana ni mama tu wa makamo flani lakini. Kuchukua kimashine cha luku na kuweka umeme tu mpaka aombe msaada, pesa kwenye simu mpaka mtu amtolee
Smartphone nilimnunulia nimemfundisha kutumia whatsap,kupiga na kusoma SMS wiki nzima ameambulia kuikataa na kuamua kubaki na kiswaswadu kwamba haiwezi.

Kwa hiyo ni hali tu ya watu kuchukulia mambo kwa uzito kuliko uhalisia. Akili imejijengea mfumo wa kutokuweza. Mtu kama huyo jamaa wa passo. Akiangalia ile dashboard pale anaiona kama jinsi wewe unavyoiona dashboard ya ndege vile yani fulu manyotanyota
 
Niliwahi kutumia PASSO Kutoka WAZO HILL hadi POSTA na kurudi kila siku kwa bajeti ya 10,000/=
Kikubwa ukiwa na Passo yako usitake kushindana na watu, hapo hutaona km ipo economy...
 
Ni kweli mkuu nakumbuka nilmbeba dada mmoja yupo udom mwaka wa 2 Sasa ye anaish nkuhungu ,aliniomba nmsindike kwao nkamuulza kwa makadilio kutoka hapa town had kwenu ni km ngapi? akanijibu Mambo ya km ye hajuagi ila inaweza kua km 100 daa nilichekaa sanaa
 
Niliwahi kutumia PASSO Kutoka WAZO HILL hadi POSTA na kurudi kila siku kwa bajeti ya 10,000/=
Kikubwa ukiwa na Passo yako usitake kushindana na watu, hapo hutaona km ipo economy...
Suluhisho la yote ni terios kid. Utafurahi na roho yako yaani mafuta kiduchu kama unatumia boxer 150
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
nimekoma ntaipaki ndani
Usipaki mkuu utaiharibu moja kwa moja. Iuze au fanya uber hlf ununue usafiri mwngine utakaoweza kumudu.

Usione watu wako barabaran na magari ukadhan wanakula raha. Ni basi tu tunakufa na tai shingon coz usafiri wa umma ni shida.

Ukiwasha gari hakikisha hela ipo mfukon vnginevo unaweza kuumbuka au kusababisha usumbuf mkubwa kwa wengne huko mbele.

Kila lakheri.
 
Ha
Terrious kid ni bonge moja ya gari.kwenye mafuta sijawai kujuta na ni 4weel drive.kipindi Cha mvua wenye ist za kuhongwa uwa wanazipaki ndani barabara ya makoka natamba mie tu.
Hakika mkuu. Hapa mjapan alicheza kama samata
 
Watu wengi wanakabiliwa na tatizo la uvivu wa kufikiri mkuu
Sijui ni Tanzania Afrika au ni dunia nzima...
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]kumiliki gari kwa mara ya kwanza kuna taabu zake....
 
badilisha plug na airfilter , ya kwangu ilikuwa inakula kama hivyo 12Km per liter na chini ya hapo , baada ya kubadili ni sasa hivi ni 14 to 17 km per liter
 
Mkuu passo haili km 10 per lt km haina tatizo, kukiwa na foleni kubwa labda imekula sana ni km 14 pr lt ikiwa hakuna folen ina kula had km 18 per lt, km 10 per lt..!

Hata ist ya Injin ndogo haiwez kula hvyo asee....hsiwezekani gar inayokula km 15 had 16 eti ile km 10 kisa folen. Kikubwa apeleke gar kwa mafundi wa uhakika itakuwa tu sawa.

Angalizo epuka mafund wa vichochoroni weng ni wapiga ramli watakununulisha spare mpaka utaje jina lako na wanaweza kuliharibu zaid badala ya kutengeneza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…