Msaada gari yangu aina ya Toyota Passo inakula sana mafuta

Umenunua UKIMWI...
Kuna dada mmoja ana passo yake kataguta mteja kakosaa....

Bora Vitz mara 1000..
Passo sio gar
 
km 100 daaah au alikua anamaanisha mita 100

ahahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23][emoji28][emoji28][emoji23] kiukweli wadada wana tatzo la kufikiri mfano kuna mdada ashawahi nletea simu eti playstore na whatsapp hazifanyi kazi bas mm nkaingia setting afu app afu nikaclear data then nkarud playstore nikaapdate whatsapp,,,nkamwambia nilipe 8000 na akalipa yaan daaah ktu ambacho angeingia tu utube na kutumia bando la buku kujifunza lakn anaona kaz ahahahah
 
Suluhisho la yote ni terios kid. Utafurahi na roho yako yaani mafuta kiduchu kama unatumia boxer 150
Hii gari ni very economical especially kama unaishi mazingira ya barabara mbaya na vilima..utainjoi..

Ila sasa inarusha rusha, hahahaa..[emoji3]kama lile gari la farasi tu...[emoji564][emoji564]
 
grizzman
Kwa haraka haraka jaribu kucheki
-nozzle
-plugs
-air cleaner (pengine Kama ulishawai ibadilisha na ukaweka ambayo sio sahihi kulingana na air ratio)
-Adjustment za brake pads pia husababisha hilo tatizo
Mcheki fundi akusaidie
 
Terrious kid ni bonge moja ya gari.kwenye mafuta sijawai kujuta na ni 4weel drive.kipindi Cha mvua wenye ist za kuhongwa uwa wanazipaki ndani barabara ya makoka natamba mie tu.
Ooh kumbe, asante. nilikuwa ninafikiria kununua hili gari japo sikuwa na uhakika kwenye barabara mbaya.Vipi kwenye rough road ya km 14 kwa siku litamudu mkuu?
 
vip mkuu tatizo lako liliisha?maana mie nmekumbwa na tatizo hili japo yangu ni 1290cc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…