Msaada: Gari yangu inameza oil

Msaada: Gari yangu inameza oil

Hiyo engine oil unayotumia ni nzito sana kwa gari hiyo na pia 20w50 inashauriwa kutumiwa na magari yenye mileage kubwa sana na magari yanayofanya kazi nyingi kwa siku mfano daladala sasa ist nayo unaibebesha oil nzito kiasi hicho mkuu? Utaua gari
Sijaelwa mkuu, mimi nimekuwa natumia 20w-50 mara zote...gari ni IST.
 
IST zenye 1NZ engine (1490cc) na 2NZ (1290cc), recommended oil ni 5w-30 na 10w-30. Kama umekuwa unatumia hiyo 20w-50, basi umekuwa unaitumikisha sana hiyo engine kwa sababu oil hiyo ni nzito na ni kwa ajili ya magari makubwa au injini za zamani. Mfano, kuna engine moja ya Canter, recommended oil yake ni 15w-40, nawe umekuwa unatumia oil ya magari makubwa tena zaidi ya Canter.
 
Mleta mada alete majibu je hio IST imeshakufa au bado
 
Hiyo gari ina km ngapi mpaka sasa?
Gari dogo kama hilo usifunge engine. Toa weka nyingine.
Maisha yaende.
 
washa gari yako, wacha ipate moto kidogo, fundu dip stick ukiona inatoa mvuke kabisa uwe unauona kwa macho sio kuweka mkono, ujue hio engine inaunguza oil. apo lazima ifunguliwe ndani itizamwe tu. na ikifunguliwa hakuna dogo tena mkuu. hio namba kuwa DJW isikushughulishe kabisa. Nawaambia kila siku, uzima na upya wa gari ni mashine sio namba za usajili!
Yaan wengi wanaingizwa mkenge na namba za usajili, akiona namba D anapagawa, akiona namba B anaponda, kazi ipo kuelimisha watu
 
Nina mdogo wangu huyo dah! huna vya kumwambia, mpaka mifano hai nishamuonesha, yeye kaganda kwenye namba. Watu kama hawa mpaka siku wavabishwe tu.
 
Hiyo engine oil unayotumia ni nzito sana kwa gari hiyo na pia 20w50 inashauriwa kutumiwa na magari yenye mileage kubwa sana na magari yanayofanya kazi nyingi kwa siku mfano daladala sasa ist nayo unaibebesha oil nzito kiasi hicho mkuu? Utaua gari
Nimekusoma chief...
 
mzee baba tatizo lako dogo sana VALVE SEALS zimeisha so oil ikipanda kwenye cylinder head inachomwa inaisha hairudi kweenye injini muone fundi akubadilishie VALVE SEAL UENJOY MAISHA

nshapata tatizo kama lako fundi akalitatua hivyo tu, gari najua haitoi moshi so Pistol Ring sio tatizo ni HEAD tu
 
Wakuu nina suzuki kei cha mdogo wangu.. cc650 msaada oil gani nzuri aiutumie na size gani? Nashukuru
 
Oil yoyote ile ni nzuri kinachotofautiana hapa ni grade tu kwa ushauri wangu tumia mult grade oil ya 5w30 umekosa sana hiyo niliyotaja weka 10w30 ukikosa tena hizo mbili basi 5w40 kuhusu kampuni gani zipo nyingi tu kulingana na bei yako mfukoni castrol hizo zilizotajwa kwa dumu la litre 4 ni 88000-90000, total ni 60,000, oryx 55000 Gp ni 55000 lake oil ni 50000, mogas 50000 liquil molly n 95000 hizo zote ni bei kwa dumu la litre 4
 
Ushauri mzuri Chief...nmetumia SAE 40 kwenye Suzuki swift ila nataka nibadilishe nianze kutumia 5w-30 kwa sababu niko kwenye hali ya hewa ya baridi
 
mzee baba tatizo lako dogo sana VALVE SEALS zimeisha so oil ikipanda kwenye cylinder head inachomwa inaisha hairudi kweenye injini muone fundi akubadilishie VALVE SEAL UENJOY MAISHA

nshapata tatizo kama lako fundi akalitatua hivyo tu, gari najua haitoi moshi so Pistol Ring sio tatizo ni HEAD tu
Boss, naomba unieleweshe hapo kwenye valve seals. Unazungumzia cylinder head valves? Oil kuisha na valves, mahusiano yake yakoje haswa?
 
Back
Top Bottom