kingjohn255
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 400
- 513
Hiyo engine oil unayotumia ni nzito sana kwa gari hiyo na pia 20w50 inashauriwa kutumiwa na magari yenye mileage kubwa sana na magari yanayofanya kazi nyingi kwa siku mfano daladala sasa ist nayo unaibebesha oil nzito kiasi hicho mkuu? Utaua gari
Sijaelwa mkuu, mimi nimekuwa natumia 20w-50 mara zote...gari ni IST.