Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lexu is200, mashine 1gfe vvti, ilianza kusumbua na sensor ya oxygen nikaiopotezea, mkuu gari ikikaa silence kwa mda tu inaanza kufanya kama inamiss lkn hakuna misfire code inayojitokeza, mara code ya sensor knock, nikachange sensor haikufua dafu, kumbe kitu kilianza kitambo, oil pump ilifail nko katika mwendo mkali, gari ikafanya kutaka kusizi, basi tangu siku hio, hayo mafuta kama tenki imetoboka. Sema saiv nimepachika 1g nyengine nimepata afueni.Gari gani mkuu? Kama nilivyojieleza yangu ni cc 1990, nilidhani 9 to 10km/ltre ingekuwa fair
9 to 10 ni magari ya kisasa, mana siku izi unakuta range v8 ipo economic sana kuliko mark 2 grandeGari gani mkuu? Kama nilivyojieleza yangu ni cc 1990, nilidhani 9 to 10km/ltre ingekuwa fair
Ni hivi angalia mfumo wa mafuta unapoanzia mpaka unapoishia yan kweny pump mpak nozeli,, nozel zinatakiwa zimwage mafuta kama spray tofaut na hapo ujue mbov hiyo inapeleka mafuta mengi,,angalia mfumo wa hewa pia angalia mfumo wa spark plug,,Thanks. Nahisi mfumo wa hewa na mfumo wa mafuta uliosema.
Plug niliweka mpya tena orijino za bosch.
Zamani matumizi yalikuwaje? Mtafute mtalaam akuangalizie plugs. .6 hadi 7
Ah ah ah ah ahUngenunua inayokula ugali
Mbona nyingi Sana hizo6 hadi 7