Msaada: Gari yangu inatumia mafuta sana

Msaada: Gari yangu inatumia mafuta sana

6-7 mbona ndio average, mkuu nlikuwa natembelea gari 3km per litre, si mchezo, nilibadilisha engine tu nipate walau 6 bana
 
6-7 mbona ndio average, mkuu nlikuwa natembelea gari 3km per litre, si mchezo, nilibadilisha engine tu nipate walau 6 bana
Gari gani mkuu? Kama nilivyojieleza yangu ni cc 1990, nilidhani 9 to 10km/ltre ingekuwa fair
 
Gari gani mkuu? Kama nilivyojieleza yangu ni cc 1990, nilidhani 9 to 10km/ltre ingekuwa fair
Lexu is200, mashine 1gfe vvti, ilianza kusumbua na sensor ya oxygen nikaiopotezea, mkuu gari ikikaa silence kwa mda tu inaanza kufanya kama inamiss lkn hakuna misfire code inayojitokeza, mara code ya sensor knock, nikachange sensor haikufua dafu, kumbe kitu kilianza kitambo, oil pump ilifail nko katika mwendo mkali, gari ikafanya kutaka kusizi, basi tangu siku hio, hayo mafuta kama tenki imetoboka. Sema saiv nimepachika 1g nyengine nimepata afueni.
 
Hio
Gari gani mkuu? Kama nilivyojieleza yangu ni cc 1990, nilidhani 9 to 10km/ltre ingekuwa fair
9 to 10 ni magari ya kisasa, mana siku izi unakuta range v8 ipo economic sana kuliko mark 2 grande
 
Thanks. Nahisi mfumo wa hewa na mfumo wa mafuta uliosema.
Plug niliweka mpya tena orijino za bosch.
Ni hivi angalia mfumo wa mafuta unapoanzia mpaka unapoishia yan kweny pump mpak nozeli,, nozel zinatakiwa zimwage mafuta kama spray tofaut na hapo ujue mbov hiyo inapeleka mafuta mengi,,angalia mfumo wa hewa pia angalia mfumo wa spark plug,,
 
Fungua Cylinder head na utoe piston mbili zibaki 2 mambo itakuwa saafi
 
eti umeangalia haitumii carbureta ni piki piki hiyo?? gari kutumia carbuteta ni zaman sana
 
Shida ya kuwa na under 18's hapa jf ndo hii mtu ameomba ushauri cha ajabu anaambiwa angenunua inayokula ugali , kweli? Kukaa kimya kama hujui huwa ni busara sana

Mkuu entim subir wataalam waje watakupa haki yako ya kuuliza
 
Jamaa linasema eti atoe piston mbili abakize mbili hahaaaa
 
Kagua mfumo wa mafut kuanzia kwny tank njo na pips mpk kwny injector pamps yawez kw yanapotelea hapo njian kk
 
Nunua gari ingine punguza njaa gari ina 150,000km tupa hyo gari na lazma iwe na high consumption af kijigari cha zamani sana hicho
 
Back
Top Bottom