Msaada - Gharama ya Kujenga Nyumba Hii..!!

Nakubaliana na hesabu hii, nimejenga almost same size imecost around that. Nimefanya very high quality finishing.
 
Hesabu hii ya wataalam huwa inaleta gharama za juu sana. Mfano 120sqm itakuwa 60m.
 
Nicheki kwa 0784834208 tuongee mm ni QS nitakufanyia estimate cost zote za nyumba yako
 
h
Mkuu 2.5 ni figure tu njoo na mabati mangapi mbao kiasi gani na price pia fundi utampa ngapi hivyo hivyo na kwenye magrill
Hio 2.5million ya finishing ni uongo wa wazi wazi. (Gharama za mbao+Misumari+Mabati+Fundi etc) kwa makadirio ya chini kwa kutumia bati za kawaida haipungui 5Milion kwa bati nyengine zile haipungui 10Milion. Kwa aliyejenga anaelewa kwa ambae anatoa story za kusikia hawezi elewa haya.
 
Inaweza kufika kama milioni 250
inategemea pia na aina na finishing materials!
Hivi juice mafisadi wamewaharibu kiasi iki?!
Milioni 250 kwa nyumba hiyo!!!
 
Hivi juice mafisadi wamewaharibu kiasi iki?!
Milioni 250 kwa nyumba hiyo!!!
nmejifunza kuna aina 2 za mafundi........wale compasionate ambao ndo wametuwezesha wazee wetu kuitwa mababa wenye nyumba kama ZeMarcopolo na hawa ze rest wanaotufanya vijana tuone bora kuchukua mkopo wa gari million 20 tukiwaza kupiga dili ya million 200 .big up marcopolo hata kama sio aactual lakin naamini umeinfluence vijana wengi sana waanze jichanga kwa maelezo yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…