Msaada: Gharama ya kukodi boti kwa ajili ya birthday party hapo mjini Darisalama

Afu hapo mnakuwa men 4 mixer 8 Diva's ziko na vichupi tu - Aisee ni kula ,kunywa na kutembeza P u m b u mpaka abdallah kichwa wazi awake moto ...

Hela tamu aisee
 
Kujenga ndio nini, hakuna hela iliyoandikwa ya kununulia tofali wala mfuko wa cement

Kula bata mzee duniani tunapita

Sent from my COR-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Wala usijenge kwani una sehemu ya bure sehemu ambayo watakuhifadhi peke yako na kuweka alama ya kuwa na wewe ulipita juu ya ardhi hii
 
Slipway ngozi nyeusi za kuhesabu sijui kwanini
Si masaki [emoji23] wahindi na wazungu ndo mitaa yao ya kubarizi.... halafu watu wengi uswahilini hawapajui
Na zile restaurant zao pia expensive kwa mtanzania wa kawaida + hizo yatch ndo kabisaaa
 
Mleta mada umefanya uamuzi wa busara endapo utaishiwa pesa njoo PM nakuahidi kukusaidia ufurahie maisha.
 
Mmmh aisee ela ya kiwanja ishakwisha tayari

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Kula maisha mkuu kwanza kujenga Ni woga wa maisha Elon Mask tajiri Dunia nzima Hana nyumba analala kwa washkaj tu KULA BATA WEKA HESHIMA MJINI
 
Kwanini usitafute kituo cha watoto ya tima ukatoa mchango wako hapo? Utabarikiwa mara 10000 kuliko risk ya kwenda baharini huko.
Yatima tayari alishawapa mchongo.
 
Sawa siyo mbaya ila zikiisha sitaki kukusikia RFA kwenye kipindi cha ushauri wako ukiomba.....
 
Nenda insta wacheki
@yatch_life au @rock_the_yacht watakupa muongozo wa bei...
 
Kawasaidie watu wasiyojiweza utabarikiwa zaidi kwani hata hiyo bd niyakupita tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…