Msaada: Gharama ya kukodi boti kwa ajili ya birthday party hapo mjini Darisalama

Msaada: Gharama ya kukodi boti kwa ajili ya birthday party hapo mjini Darisalama

Mkuu gharama ni hizi hapa Zanzibar
Day Charter – Tumbatu Island: $1,000.00 up to 10 pax, add $25/person if more than 10 pax.

Full Day Charter – Mnemba Island: $1,800.00 up to 10 pax, add $25/person if more than 10 pax.

Nungwi Bay Sunset Cruise: $100.00 per person (minimum 5 pax)

Sunset Dinner Cruise: $200.00 per person (minimum 4 pax)

SPECIAL! 24hr Overnight Yacht Cruise – Mnemba Island: $2,000.00 (Max 8 pax

Luxury Yachts Tanzania & Zanzibar Transfers

Stone Town – Nungwi/Kendwa: $2,500.00 (maximum 12 pax)

Stone Town – Dar Es Salaam: $3,500.00 (maximum 12 pax)

Dar Es Salaam – Nungwi/Kendwa: $3,500.00 (maximum 12 pax)
Afu hapo mnakuwa men 4 mixer 8 Diva's ziko na vichupi tu - Aisee ni kula ,kunywa na kutembeza P u m b u mpaka abdallah kichwa wazi awake moto ...

Hela tamu aisee
 
Kujenga ndio nini, hakuna hela iliyoandikwa ya kununulia tofali wala mfuko wa cement

Kula bata mzee duniani tunapita

Sent from my COR-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Wala usijenge kwani una sehemu ya bure sehemu ambayo watakuhifadhi peke yako na kuweka alama ya kuwa na wewe ulipita juu ya ardhi hii
 
Slipway ngozi nyeusi za kuhesabu sijui kwanini
Si masaki [emoji23] wahindi na wazungu ndo mitaa yao ya kubarizi.... halafu watu wengi uswahilini hawapajui
Na zile restaurant zao pia expensive kwa mtanzania wa kawaida + hizo yatch ndo kabisaaa
 
Mleta mada umefanya uamuzi wa busara endapo utaishiwa pesa njoo PM nakuahidi kukusaidia ufurahie maisha.
 
Mkuu gharama ni hizi hapa Zanzibar
Day Charter – Tumbatu Island: $1,000.00 up to 10 pax, add $25/person if more than 10 pax.

Full Day Charter – Mnemba Island: $1,800.00 up to 10 pax, add $25/person if more than 10 pax.

Nungwi Bay Sunset Cruise: $100.00 per person (minimum 5 pax)

Sunset Dinner Cruise: $200.00 per person (minimum 4 pax)

SPECIAL! 24hr Overnight Yacht Cruise – Mnemba Island: $2,000.00 (Max 8 pax

Luxury Yachts Tanzania & Zanzibar Transfers

Stone Town – Nungwi/Kendwa: $2,500.00 (maximum 12 pax)

Stone Town – Dar Es Salaam: $3,500.00 (maximum 12 pax)

Dar Es Salaam – Nungwi/Kendwa: $3,500.00 (maximum 12 pax)
Mmmh aisee ela ya kiwanja ishakwisha tayari

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Kula maisha mkuu kwanza kujenga Ni woga wa maisha Elon Mask tajiri Dunia nzima Hana nyumba analala kwa washkaj tu KULA BATA WEKA HESHIMA MJINI
 
Sawa siyo mbaya ila zikiisha sitaki kukusikia RFA kwenye kipindi cha ushauri wako ukiomba.....
 
Nenda insta wacheki
@yatch_life au @rock_the_yacht watakupa muongozo wa bei...
 
Wakuu msaada kuna hela nilikuwa nimetunza kwa ajili ya kununua kiwanja lakini baada ya kufanya tathmini ya kina nikaona nitakuwa nimwfanya kitu Cha kitoto hasa ikizingatiwa hapa duniani tunapita tu, sisi hapa duniani ni wasafiri.
Msaada nataka kujua Gharama ya kukodi boti hapo mjini kwa ajili ya Bata Kama wanavyofanya watoto wa mjini.
Vp na gharama ya totoz mbili tatu zakunisindikiza, zile ambazo unakuta zimejiachia nguo za ufukweni wakikata mauno , wakiwa wanarukaruka, pia nitahitaji huduma ya Picha professional. Boti liwe kubwa na jeupe. Vinywaji nitamchangia mshikaji wangu huwa anapiga hizo mambo.
Kawasaidie watu wasiyojiweza utabarikiwa zaidi kwani hata hiyo bd niyakupita tu!!
 
Back
Top Bottom