Lububi
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 2,158
- 3,808
Nimekuwa nikimtrain binti yangu awe anaingia jf kupata maarifa na taarifa.
Sijui kwa hali hivi jf hakuna parental control tool km tv channels?
Ni hv ukishachanganya maelezo ya pesa ya kiwanja na kukodi yatch unatukosea adabu kaka zako. Tusemeje sasa!
Birthday mwisho miaka 18yrs kwamba sasa unaingia umri wa kuenjoy ....
Ndoa,
Mikataba,
Leseni (Driving, silaha, biashara, ajira nk).
Uongozi,
Dunian hutakaa ufanye starehe zote. Nyingine ni kwa cartels, na wala kodi, sio wadunduluzaji. We kaa humo humo kwenye starehe cheap dunian....uroda!
Kifupi usiache mpango wa kiwanja had nyumba!
Maisha yanabadirika sana. Unaweza kukosa hata kodi na ukaomba kufa ikashindikana. Uwe walau na pa kujiegesha.