Msaada; gharama za kukata bima ya pikipiki.

Msaada; gharama za kukata bima ya pikipiki.

dimaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
4,174
Reaction score
5,658
Salute,

Naomba kufahamishwa gharama za kukata bima ya pikipiki (insurance). Na ni hatua gani unapita hadi kuipata hiyo bima.

Nawasilisha.

By

Young

Dimaa.
 
Nenda kampuni ya insurance na kadi ya pikipiki watakupa utaratibu namna ya kufanya usisahau kubeba pesa
 
Mkuu au ni hasira ya hizo 59000 sijuwi 72000.
 
Unanipangiaje mkuu? Simu yangu, bando langu!! Alafu wew ndo upange ninachokikoment? Aiseee!!! We kiboko!!!

You don't have point na natumaini wewe ni walewale Bashite time.

Go back to school Dude

Swissme
 
You don't have point na natumaini wewe ni walewale Bashite time.

Go back to school Dude

Swissme
Mkuu nina uhuru wa kukoment mradi tu sijakutukana. Naona una matatizo yako. Pole sana mkuu. Jumapiri njema. Kama nimekukwaza nisamehe.
 
Mkuu nina uhuru wa kukoment mradi tu sijakutukana. Naona una matatizo yako. Pole sana mkuu. Jumapiri njema. Kama nimekukwaza nisamehe.

Pole najaribu kukuelimisha hapa jukwaani ni nyumbani kwa ma great thinker sasa unavyojipendekeza kuwa wa kwanza kukoment toa komenti ya kuweza saidia watanzania

Again go back to school Dude

Asante kwa elimu yako ya matusi. Mungu akusamehe.
 
Iko hivi mkuu, pikipiki ya matumizi binafsi (private) 3rd party

50,000x18%=9,000
50,000+9,000 =

50,000/= Premium
9,000/= 18% VAT
Total 59,000/=

Bodaboda 50,000+15,000 =
65,000x18%= 11,700

50,000/= Premium
15,000/= 1seat
11,700/= 18%VAT
Total 76,700/=
 
Back
Top Bottom