Nimenunua godoro si zaidi ya miezi minne iliyopita la banco , lile la size ya mwisho. Niliamini Super banco ni zuri na wametoa guarantee ya mwaka. Lakini, sasa hivi ni chanzo cha kuamka shingo au mwili unauma kwani , godoro linabonyea chini.
Naomba uzoefu wa magodoro mengine, au ni spring mattress tu??
Tanfoam ni zaid ya godoro. Mimi nilinunua mwaka 2006 hadi hii ni kama jipya. Liko poa sana hata kwa mambo fulan fulan kwan hupat maumiv ya mgongo kabisa
Nunua la sufi ila jiandae kila asubuhi kuokota mbegu za sufi uvunguni.
Tanfoam mpango mzima adi unasahau hawa jamaa hawana matangazo ila magodoro yao ni 'mwisho wa reli' sijui kama huwa wanapata faida kwa maana godoro unatumia zaidi ya miaka 20 likiwa na ubora ule ule!
Nunua la sufi ila jiandae kila asubuhi kuokota mbegu za sufi uvunguni.
Tanfoam ni zaid ya godoro. Mimi nilinunua mwaka 2006 hadi hii ni kama jipya. Liko poa sana hata kwa mambo fulan fulan kwan hupat maumiv ya mgongo kabisa
Umeshajua Tanfoam yanapatikana wapi kaa dar?Waheshimiwa,
Hawa Tanfoam original kwa Dar wanapatikana wapi. Maana siku hizi kama ni kuingia madukani tu lazima upate kitu "KIMECHAKACHULIWA"
QFL, nina mwaka wa nane sijaona dalili ya kutitia
TANFOAM mambo yote.
Niniayo mawili. Moja ni alilonunua mzazi wangu (zaidi ya miaka 20 ilopita) na wala halijabonyea. Siku hizi na wameanza kutangaza japo kwa mabango barabarani huku Arusha. Jihadhari yapo bandia mengi sana. Kagua uone muhuri wa moto kwenye godoro. Bora ununue lisil na foronya.
Tanfoam ni zaid ya godoro. Mimi nilinunua mwaka 2006 hadi hii ni kama jipya. Liko poa sana hata kwa mambo fulan fulan kwan hupat maumiv ya mgongo kabisa
2006 hadi leo si mchezo.... miaka mingapi jumla hapo
Longtime no see you......mzima
Mzima...mie nipo tu sijui wewe
Godoro hua lina expire baada ya miaka mitano Katupe hilo usije ulapata madhara ya mgongo uzeeni
Tupia bei mkuu maana nyumbani kwangu sasa kama massage palor!unalala kwa maumivu unaamka kwa maumivu ,kwa hiyo fast thing fast kufanyiana massage halafu maisha ndio yendelee !maana hata na watoto wana complain shingo mgongo we acha tu!Tanfoam mpango mzima adi unasahau hawa jamaa hawana matangazo ila magodoro yao ni 'mwisho wa reli' sijui kama huwa wanapata faida kwa maana godoro unatumia zaidi ya miaka 20 likiwa na ubora ule ule!