MAUBIG
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,039
- 855
Nimenunua godoro si zaidi ya miezi minne iliyopita la banco , lile la size ya mwisho. Niliamini Super banco ni zuri na wametoa guarantee ya mwaka. Lakini, sasa hivi ni chanzo cha kuamka shingo au mwili unauma kwani , godoro linabonyea chini.
Naomba uzoefu wa magodoro mengine, au ni spring mattress tu??
Chukua la kampuni ile inayotamba bila ya kubadili matangazo kama Comfy
Mambo yote ni TANFOAM, wengine wasindikizaji tuu