Msaada: Godoro gani zuri?

Hutasaidika, jitahidi upate TANFOAM hutajuta mkuu, niliwahi kununua 2002 nkiwa yanki hadi leo hajijaonyesha kubonyea. Hii godoro haina mshindani, nilinunuaga dodoma hakuna kitu ni uchafu, jaribu tanfoam na ujiridhishe imetoka Arusha na si vinginevyo.
 
Godoro zuri la kwanza ni tanfoam ktoka arusha na jingine ni dodoma asili sio qfl,
NB: kuwa makini kupata Original both hutojutia
 
chukua TANFOAM,nimelinunua maiaka 6 iliyopita lkn kama nimelinunua jana,ila uwe makini,nenda kwa wakala wao,la sivyo utapata ``feki``
 
Quality foam magodoro Dodoma
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hili nalo neno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…