asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,035
Yeah kwa mtazamo wangu lakini sorry....
Ok.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah kwa mtazamo wangu lakini sorry....
godoro dodoma ndio mwisho wa matatizo yko huo ndo ukweli km vp ni pm nikupe namba ya wakala kwan wengine wanachakachua bt hilo utalipata kutoka kiwandan
Kwani sh.ngapiyale huwaga ni full yani pamoja na kitanda chake ila bei yake sasa inabidi ujipange godoro lina spring kitanda nacho kina spring.
Hayo majuto ninayo mm pia, yn ukiamka asubui kama umepigwa na fimbo mwili mzima unauma, nataka kununua baba lao Tanfoam haya makampuni mengine uchwara tuNimesikitishwa sana na kilichonikuta.
Mnamo mwezi wa tano mwaka huu nilijikunjua nikalinunua godoro super banco 6x6 inch 6 kwa Tshs. 220,000/= na muuzaji akanishawishi kuwa super banco ndiyo bora kwa sasa, nikalichukua ila tangu mwanzo likawa linabonyea na kutengeneza mashimo nikajua ndiyo mtindo wake ila kadili siku zilivyosogea likawa mtumbwi katikati, baada ya miezi 6 nimerudi kutoa taarifa kwa muuzaji ananambia muda umepita sana ilibidi nitoe taarifa ndani ya miezi mitatu na sikutakiwa kuwa nimechana karatasi la juu wala nembo, mambo ambayo hakunieleza wakati nalinunua lile godoro, nikamwambia kuwa natambua kuwa sio kosa lake bali ni kosa la kiwanda hivyo wanisaidie mawasiliano ya moja kwa moja na kiwanda ila wamegoma wanadai wao watawasiliana nao ila dalili ni kwamba wananikwepa.
Kusema kweli inaniuma sana na tatizo sio pesa tu ila nasikitishwa na utapeli tunaofanyiwa na hivi viwanda vya magodoro kwa kushirikiana na shirika la viwango Tanzania tbs, inakuwaje watuaminishe kuwa bidhaa ni bora wakati zina matatizo!?
Mwanzo nilidhani labda kama ilivyo jambo la kawaida labda walikosea kwa baadhi ya magodoro katika kutengeneza na hivyo wanaweza kuchukua hatua ya kukufidia kwa mapungufu ambayo ni bahati mbaya ila baada ya kupitia maoni yenu inaonesha ndiyo ubora wa magodoro ya super banco hata nikifidiwa nitaletewa aina ileile.
Nilikuwa na mpango wa kukiandikia kiwanda kukilalamikia na nakala nitume kwa tbs ili wanipatie bidhaa iliyo bora.
Ikionekana hawawezi basi na mimi nitumie namna yoyote kuuhabarisha umma wa watanzania kuwa super banco sio magodoro ya kutoa pesa yako kununu.
Naomba ushauri nifanye nini?
Nimesikitishwa sana na kilichonikuta.

Dar yapo haya?Mkuu TANFOAM ndio mwisho wamatatizo'' ila bei yake andaa mara mbili na nusu ya Pesa uliyotumia kununua hilo godoro lako la sasa!
Kwamsaada zaid nipm maana hizo ndio shughuli zangu!
Wala usibabaike....Jikamatie TanfoamNimenunua godoro si zaidi ya miezi minne iliyopita la banco , lile la size ya mwisho. Niliamini Super banco ni zuri na wametoa guarantee ya mwaka. Lakini, sasa hivi ni chanzo cha kuamka shingo au mwili unauma kwani , godoro linabonyea chini.
Naomba uzoefu wa magodoro mengine, au ni spring mattress tu??
Tsh ngapiyale huwaga ni full yani pamoja na kitanda chake ila bei yake sasa inabidi ujipange godoro lina spring kitanda nacho kina spring.
mwenzio anakwambia hilo ndo limemuamsha mifupa inauma saaasa una mrudisha hukohuko.chukua super banco ndo mazuri
Duuh kg 95:95 au 100:90 si mchezo mzee zingatia mazoezi mkuu hiyo ni hatari kwa afya yako.Mimi na my wife tuna kg 190 mpaka sasa, tumelalilia TANFORM tangu 2004 mapaka sasa liko supa. Hata kwenye mchezo mpaka sasa tunadunda na kuogelea kama Bombadieq
Kukuruku mwanangu.......tangu mjukuuu shakua babu...lakini ....linanesanesa
daah kwa bei hii lazma ukimbilie PM teh teh teh teh....kati ya laki 5-6 kwa 6 x6
Nina Tanfoam huu mwaka wa sita liko vilevile hata dalili ya kubonyea hamna,, mali ya Arusha c la mchezo mchezo aisee, hata haliumizi cjui kwa dar yana patikana wapi.TanFoam
alinunua mjukuu mpaka babu analitumia!
Yana bei hatari, ila yako poa sanaMkuu TANFOAM ndio mwisho wamatatizo'' ila bei yake andaa mara mbili na nusu ya Pesa uliyotumia kununua hilo godoro lako la sasa!
Kwamsaada zaid nipm maana hizo ndio shughuli zangu!