I LOVE YOU DUCE
Member
- Mar 21, 2024
- 30
- 135
Kuna muda napata ideas fulani akilini na moyoni mwangu kuwa nifanye na muda huo huo akili inasema ukiifanya hii inaweza badili maisha yako, lakini napo taka kuanza kuifanyia kazi, nashidwa kuendelea na roho nyingine nyuma Ina nambia muda Bado utafanya tu baada ya miezi kadhaa,Kisha na cease na idea hiyo.
Mfano, Kuna idea Ilikuja ya kuandika proposal project kwenda tasisi moja ja ki elimu hapa jijini, Nika Anza kabisa kui draft lakini badae moyo ukasema acha.
Cha ajabu wiki moja kuna mtu kapeleleka project proposal kama hiyo bodi ya tasisi hiyo imeikubali na imempa kazi kama ya kudumu na kama controller wa project hiyo