Msaada hapa wapendwa; Ananipa kila kitu lakini ana kibamia

Msaada hapa wapendwa; Ananipa kila kitu lakini ana kibamia

Wanawake sijui hata mnataka nini.ukikuta msela ana mguu wa mtoto ila hana hela mnakimbia.

Ukimkuta mwenye pesa ila kibamia shida sana. Je mnataka nini nyie watu?
MOYO MASHINEE - BEN PAUL

Tena warefu ndio wengi wana vibamia sasa.
Kweli kabsaaa

Oysterbay Nyumba ya Dollar 1,000 ni uongo labda useme ni Servant kota au hiyo obey iwe pale Namanga kwa Nyuma kule bondeni. Chumvi Nyingine hapo kwenye Mengi ungesema huyo jamaa yako Kimwaga ana pesa lakni hawezi mfikia Mengi.
Mjomba unaishi Dar au?!
Upanga Appartment ni dola 2000 mpaka 2500 itakuwa Obey bro?!
 
Mi huwa hii lugha ya kibamia siielewi mwenzenu, ishu ni kibamia au ishu ni kushindwa kukitumia kibamia chake? Kama unaweza kuwa satisfied na kidole why kibamia muweke kwenye fikra wakati tendo at least uridhike kisha kula hela Mama mtaani kugumu huku balaa Yani ulivyokuwa unasimulia kuna wenzako damu simewasisimka walitamani kukuambia hata Hicho kibamia kiondoke aje hivyo hivyo na hela zake tu
Bro hayo matukio ni ya uongozi wa karne ya 4 sio wa karne ya sasa bruh!
Mmh we acha tu msiba sikia kwa jirani yako

Ampe 0713......
Che majanga

Yawezekana niyakawaida nawala sio ndogo kama unavyotuaminisha ila wewe ndio ukawa unabwawa kubwa
Me nadhani wewe unakibamia unatetea team kibamia wenzio

Maku nakupa fedha unakuja kubwabwaja huku mtandaoni
Muhusika aje JF ana njaa gani labda?! Kwendraaaaa! Unatafuta kiki?! Poyeeee ushachelewa
Mwambie atoe nyuma
Dah huyu ni mtoto wa dini hawezi *****

mwambie aangalie kipaumbele chake..kama kipaumbele chake si pesa basi akatafute wengine watakaokidhi matakwa yake maana si vizuri kuishi kwa majuto.!!
Che! Arudi Temeke kwenyw kibatari sio?!
Kweli Wa Tz mna roho mbayaa
 
Bro hayo matukio ni ya uongozi wa karne ya 4 sio wa karne ya sasa bruh!
Mmh we acha tu msiba sikia kwa jirani yako


Che majanga


Me nadhani wewe unakibamia unatetea team kibamia wenzio


Muhusika aje JF ana njaa gani labda?! Kwendraaaaa! Unatafuta kiki?! Poyeeee ushachelewa

Dah huyu ni mtoto wa dini hawezi *****


Che! Arudi Temeke kwenyw kibatari sio?!
Kweli Wa Tz mna roho mbayaa
He yamekuwa hayo tena jaman
 
Sasa tuletee hizo pesa vijana wa kazi tukushereheshe maana hao wazee siku hizi ukiingia na bahasha tu hata kama una shida tofauti wanakwambia ajira hamnaaa unageuza zako, mpofoe huyo.
 
Naombeni misaada yenu hapa kuna kesi ya kusolviwa haraka haraka, watu wapo juu ya mawe wanaliaaa

NAZI MTARONI:
Yani Money Penny hapa ninashida ya milele
Kuna kibopa nilikutanaga nacho TRA hapo naenda kupeleka risiti za malipo ya kampuni nayofanya kazi
Kibopa sijui ndio ufisi akanitamani au akanipenda anajua mwenyewe.

Kaniomba no yangu nikamkazia, akanifuatilia mpaka kanipata. Akanipandia hewani me sijui hili wala lile nikamsikiliza mpaka mwisho
Nikamwambia hautaniweza bruh! Me mtoto wa kishua (hapo namdanganya kumbe me mtoto wa temeke)

Oh ntakuweza na nini, nikamwambia sawa nataka kuona show zako kabla ya uzinduzi. Kukata simu mil 1 hiyo tigo pesa ndani ya siku 5 nina mil 5, kila siku zinarushwa tu kama DJ khalid alivyokuwa anamrushia demu wake

Weekend natumiwa tena nikaona sasa hapa labda penyewe. Tukakutana Sea Cliff mjeda mzuuuriii mreeeefu, tukala lunch skunyingine dinner skunyingine beach party, skunyingine white party, nikadondoka Zari Party ya mwaka juzi ile 2014 kama sio 2015 mjeda analipa kila kitu me kwetu temeke hapoo

Basi kwa zile show nyingi zaki volcano, nikapandisha manyanga next level
Yeleuuuwi kufika Kunduchi Beach Hotel, me nishakolea Tipsy sio kitoto, kufungua bonet ya mbele mamamamamamamamamamamams anajisemeaga mbwiga wa clouds fm mamamamamamamama, mbwiga niaaaaajeee nikadhania nimeona vbaya labda zile pombe

Nikaenda kunawa uso, nikakaa kwenye choo mjeda anaita honney njoo buana nakusubiri kurudi, kha! KIBAMIA CLASSIC BABY
Nikijiangalia me mwenyewe nina mzigo balaa ni sawa na kumwaga chumvi baharini

Sasa kwasababu yule bwana keshanisherehesha ikabidi nikubali, kwenye kuandaa demu na mambo ya romance ni noumer lakini kwenye mechi buanaaa ni sheeedah!

Yani ikabidi tu niwe najiliza akojoe fasta tulale maana ananikera tu na kunichosha, hakukuchi wala nini mwenyewe anaona siiiifaaa! Kila saa anataka turudiane. Huu mwaka wa 3 nipo nae lakini sufuriii yani basi tu

Mjeda ananipenda mbayaaa, afu ana mawe hatari, Mengi atasubiri miaka 1000 kumfikia!

Money Penny nisaidie nafanyaje?! Maisha yangu kayabadilisha yeye sasa hivi nimepangiwa appartments oysterbay kwa mwezi dola 1000, lakini raha alioiweka Mungu siipati kabisaaa,

Mungu fundi sawa lakini wengine nahisi amewaoneaaa. Hapa nilipo nimewekewa mpaka body guard ananilinda usiku na mchana, gadame, ku cheat nahisi hakunaga!

Simu nimekuwa Tracked zoteee mazungumzo na watu labda kama hivi nimeonana na wewe tunaongea nje ya nyumba, CCTV kamera kibaaaao yani ni kerooo

Kazi nimeachishwa nimefunguliwa biashara ila kusema kweli Mungu jaman hapa amenionea sina rahaaa bora ningekuwa bikra basi lakini siooo nakumbukaje sasa mijeda yangu yenye madusheee?!
Ndoorooboooee

Jamani msaada tunaomba msaidieni Nazi Tutani
Maana hii kesi ya Mungu Muumba me imenishindaaaaa!
Tamaa mbele mauti ..... cheki sasa umegeuka mfungwa[emoji23]
 
MOYO MASHINEE - BEN PAUL


Kweli kabsaaa


Mjomba unaishi Dar au?!
Upanga Appartment ni dola 2000 mpaka 2500 itakuwa Obey bro?!
Bei za Pango hapa umefika... Hiyo obey yako ndio nakuambia ni servant kota kwa bei ya dollar buku
 
Bei za Pango hapa umefika... Hiyo obey yako ndio nakuambia ni servant kota kwa bei ya dollar buku
Kwahiyo kwako wewe kupangiwa servant cota unaumia sana kichwa au?! Kiruu
 
Msaada gan anataka mwambie amuache kibopa akatafute mwenye hogo arudishwe temeke


haya sasa wenye madushe yao nafasi ndio hii yakumpindua kibopa...


Na ninakukubalia bila tatizo lolote....lol


Multiple IDs...

Hivi unazifahamu ID zangu nyingine?? Huwa nakutongozaga nazo wala hata hushtuki.


Ni pm nikunongoneze


Ndiyo sasa kama hapati raha je afanyaje


Ohooooo!! Afadhari sipo pekee yangu kwenye hilo janga.
Yaani nina ka dushe kadogoo kama pingili la kidole cha mwisho. Muda mwingine hua nikiangalia miguu yangu kwa bahati mbaya hua nashituka haaaaaa!!! Dushe langu limefikaje miguuni kumbe ni kakidole ka mwisho..

Kama unakerwa na hili tatizo gonga like hapa ili kunifariji maana sijawahi kukata utepe bado nina mabeseni ya uji kiunoni


Wenye vibamia tutaelewa tu.
Ingawa huu uzi unaonekana ni home made lakini naona nyuzi za hivi zimefululiza humu...


haya sasa wenye madushe yao nafasi ndio hii yakumpindua kibopa...

Mkuje na huku kwenye mdushe basi tunahitaji maoniii

Bonyeza link hii
Msaada Tutani ni mbahili balaaa lakini ana mdushe hatarious
 
CHIKIRA MTABARI Mbona unanigongea likes sana afu hata hunisalimii??


Milioni moja kila siku.....ndani ya mwezi si una m30?!!! Hazitoshi mtaji wa kukimbia hayo 'mateso'?!! Stori za kutunga shida sana.


[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Alafu tayari yuko nae 3years, emagine ana kiasi gani hapo!!!

Ndoto zingine raha kweli kuota, hata pasikuche.


...wanaopewa pesa kiasi hicho(wanaohongwa) mara nyingi wana akili "fupi", hawawezi kufikiri mambo ya mitaji na kujenga hata siku moja.

Huyo dada ni mmoja wao, uwezo wake umeishia kulipiwa apartment oysterbay, kupelekwa sea cliff, kupewa gari kali wakati kadi jamaa kaitunza home.


khaaa hamuelewiki mara mtake mwenye pesa mara kibamia mara hogo [emoji16][emoji16][emoji16]


Weee penny,,,, na wewe sikuhizi umekuwa shigongo?,,,,, story Gani hii usawa huu,,,,,


Jaman mkuje na huku kwenyw mdushe mtoe maoni
Bonyeza link hii msomee Msaada Tutani ni mbahili balaaa lakini ana mdushe hatarious
 
Back
Top Bottom