Msaada hapa wapendwa; Ananipa kila kitu lakini ana kibamia

Msaada hapa wapendwa; Ananipa kila kitu lakini ana kibamia

And Then A Well Endowed Broke Nigga Would Never Get That Chance. Poor Us. Wacha Tuwe Wapole Hela Hatuna. Wenye Hela Ndo Hao Wanapakaza Watu Shombo Na Kunafikiwa.
 
And Then A Well Endowed Broke Nigga Would Never Get That Chance. Poor Us. Wacha Tuwe Wapole Hela Hatuna. Wenye Hela Ndo Hao Wanapakaza Watu Shombo Na Kunafikiwa.
Ni msiba bila chuki bro!
 
Kibamia ni image zako negative tu ukikikubali mbona unafurahia tu! Usiombe ukutane na kubwa ninga amili fupi, halijui kupenda mitusi mdomoni yaani hilo dushe linakuwa tu mzigo halina maana
 
Naombeni misaada yenu hapa kuna kesi ya kusolviwa haraka haraka, watu wapo juu ya mawe wanaliaaa

NAZI MTARONI:
Yani Money Penny hapa ninashida ya milele
Kuna kibopa nilikutanaga nacho TRA hapo naenda kupeleka risiti za malipo ya kampuni nayofanya kazi
Kibopa sijui ndio ufisi akanitamani au akanipenda anajua mwenyewe.

Kaniomba no yangu nikamkazia, akanifuatilia mpaka kanipata. Akanipandia hewani me sijui hili wala lile nikamsikiliza mpaka mwisho
Nikamwambia hautaniweza bruh! Me mtoto wa kishua (hapo namdanganya kumbe me mtoto wa temeke)

Oh ntakuweza na nini, nikamwambia sawa nataka kuona show zako kabla ya uzinduzi. Kukata simu mil 1 hiyo tigo pesa ndani ya siku 5 nina mil 5, kila siku zinarushwa tu kama DJ khalid alivyokuwa anamrushia demu wake

Weekend natumiwa tena nikaona sasa hapa labda penyewe. Tukakutana Sea Cliff mjeda mzuuuriii mreeeefu, tukala lunch skunyingine dinner skunyingine beach party, skunyingine white party, nikadondoka Zari Party ya mwaka juzi ile 2014 kama sio 2015 mjeda analipa kila kitu me kwetu temeke hapoo

Basi kwa zile show nyingi zaki volcano, nikapandisha manyanga next level
Yeleuuuwi kufika Kunduchi Beach Hotel, me nishakolea Tipsy sio kitoto, kufungua bonet ya mbele mamamamamamamamamamamams anajisemeaga mbwiga wa clouds fm mamamamamamamama, mbwiga niaaaaajeee nikadhania nimeona vbaya labda zile pombe

Nikaenda kunawa uso, nikakaa kwenye choo mjeda anaita honney njoo buana nakusubiri kurudi, kha! KIBAMIA CLASSIC BABY
Nikijiangalia me mwenyewe nina mzigo balaa ni sawa na kumwaga chumvi baharini

Sasa kwasababu yule bwana keshanisherehesha ikabidi nikubali, kwenye kuandaa demu na mambo ya romance ni noumer lakini kwenye mechi buanaaa ni sheeedah!

Yani ikabidi tu niwe najiliza akojoe fasta tulale maana ananikera tu na kunichosha, hakukuchi wala nini mwenyewe anaona siiiifaaa! Kila saa anataka turudiane. Huu mwaka wa 3 nipo nae lakini sufuriii yani basi tu

Mjeda ananipenda mbayaaa, afu ana mawe hatari, Mengi atasubiri miaka 1000 kumfikia!

Money Penny nisaidie nafanyaje?! Maisha yangu kayabadilisha yeye sasa hivi nimepangiwa appartments oysterbay kwa mwezi dola 1000, lakini raha alioiweka Mungu siipati kabisaaa,

Mungu fundi sawa lakini wengine nahisi amewaoneaaa. Hapa nilipo nimewekewa mpaka body guard ananilinda usiku na mchana, gadame, ku cheat nahisi hakunaga!

Simu nimekuwa Tracked zoteee mazungumzo na watu labda kama hivi nimeonana na wewe tunaongea nje ya nyumba, CCTV kamera kibaaaao yani ni kerooo

Kazi nimeachishwa nimefunguliwa biashara ila kusema kweli Mungu jaman hapa amenionea sina rahaaa bora ningekuwa bikra basi lakini siooo nakumbukaje sasa mijeda yangu yenye madusheee?!
Ndoorooboooee

Jamani msaada tunaomba msaidieni Nazi Tutani
Maana hii kesi ya Mungu Muumba me imenishindaaaaa!
Wanawake bana..kma hakupend hakupendi tuu..tena awa wanawake wa dar duh
 
Huyo mjeda wa cheo gani mwenye pesa za mchezo hivyo?!.. mbona wajeda ni maskini? Au mkuu wa majeshi?..story ya kutengeneza bhana.
 
Ohooooo!! Afadhari sipo pekee yangu kwenye hilo janga.
Yaani nina ka dushe kadogoo kama pingili la kidole cha mwisho. Muda mwingine hua nikiangalia miguu yangu kwa bahati mbaya hua nashituka haaaaaa!!! Dushe langu limefikaje miguuni kumbe ni kakidole ka mwisho..

Kama unakerwa na hili tatizo gonga like hapa ili kunifariji maana sijawahi kukata utepe bado nina mabeseni ya uji kiunoni
Kaka karibu chaputa... huku si hatuchaguagi saizi..
 
Huyo mjeda wa cheo gani mwenye pesa za mchezo hivyo?!.. mbona wajeda ni maskini? Au mkuu wa majeshi?..story ya kutengeneza bhana.
Unapenda kutengenezewa tengenezewa ee?!pole sana
Ungekuwa Dar ya miaka 10 iliopita ungeona show zake
 
Wewe huko kwenye Kampuni unapoteza muda, rudi Kimboka kwenye ofisi yako.
 
Msaada wangu itabidi unitafute, ila muombe akununulie laptop nzuri... kisha nikupe maelekezo ya kuondoa au kuzi fake hizo tracking, pia nikusaidie tupate hizo paths za cctv ili tucontrol hizo camera... kuhusu huyo bodyguard ni mwishoni kabisa kwani nitachimba underground tunnel ambayo itatokea hapo chumbani so huyo kibopa akitoka tu mie naingia nachukua pesa nasepa[emoji1]
 
Msaada wangu itabidi unitafute, ila muombe akununulie laptop nzuri... kisha nikupe maelekezo ya kuondoa au kuzi fake hizo tracking, pia nikusaidie tupate hizo paths za cctv ili tucontrol hizo camera... kuhusu huyo bodyguard ni mwishoni kabisa kwani nitachimba underground tunnel ambayo itatokea hapo chumbani so huyo kibopa akitoka tu mie naingia nachukua pesa nasepa[emoji1]
Makubwaa
 
Back
Top Bottom