Msaada hapa wapendwa; Ananipa kila kitu lakini ana kibamia

And Then A Well Endowed Broke Nigga Would Never Get That Chance. Poor Us. Wacha Tuwe Wapole Hela Hatuna. Wenye Hela Ndo Hao Wanapakaza Watu Shombo Na Kunafikiwa.
 
And Then A Well Endowed Broke Nigga Would Never Get That Chance. Poor Us. Wacha Tuwe Wapole Hela Hatuna. Wenye Hela Ndo Hao Wanapakaza Watu Shombo Na Kunafikiwa.
Ni msiba bila chuki bro!
 
Kibamia ni image zako negative tu ukikikubali mbona unafurahia tu! Usiombe ukutane na kubwa ninga amili fupi, halijui kupenda mitusi mdomoni yaani hilo dushe linakuwa tu mzigo halina maana
 
Wanawake bana..kma hakupend hakupendi tuu..tena awa wanawake wa dar duh
 
Huyo mjeda wa cheo gani mwenye pesa za mchezo hivyo?!.. mbona wajeda ni maskini? Au mkuu wa majeshi?..story ya kutengeneza bhana.
 
Kaka karibu chaputa... huku si hatuchaguagi saizi..
 
Huyo mjeda wa cheo gani mwenye pesa za mchezo hivyo?!.. mbona wajeda ni maskini? Au mkuu wa majeshi?..story ya kutengeneza bhana.
Unapenda kutengenezewa tengenezewa ee?!pole sana
Ungekuwa Dar ya miaka 10 iliopita ungeona show zake
 
Wewe huko kwenye Kampuni unapoteza muda, rudi Kimboka kwenye ofisi yako.
 
Msaada wangu itabidi unitafute, ila muombe akununulie laptop nzuri... kisha nikupe maelekezo ya kuondoa au kuzi fake hizo tracking, pia nikusaidie tupate hizo paths za cctv ili tucontrol hizo camera... kuhusu huyo bodyguard ni mwishoni kabisa kwani nitachimba underground tunnel ambayo itatokea hapo chumbani so huyo kibopa akitoka tu mie naingia nachukua pesa nasepa[emoji1]
 
Makubwaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…