Msaada hapa wapendwa; Ananipa kila kitu lakini ana kibamia

Kwa picha niliyo ipata ww na huyu wote hamjaoana mnafanya zinaa sasa ushauri wa Bure ww umrudia Mola wako na Ukome kutangaza Sifa za Mtu unayetembea nae Ivi na yeye akiamua kukuanika Aibu zako Mtandaoni utajisiliaje ww kweli ni mwanamke unayejitambua au Changudoa uliyekubuu !!!
 
Huyo kibopa labda awe anauza ngada, lakin sio serikalin akupe mill1 kwa siku hapanaaaaa
Huyu ni Muongo M1 kwa Siku eti ndani ya siku tano Nina 5 ameamua kujifariji hapa
Ni vizuri mkibahatika kupata wahongaji kama hao muwekeze ili akikuchoka na kuchukua mwingine una pa kuanzia. Sio unabaki kusimulia tu ilikuwa hivi vile......
 
Stori za kupikwa hizi za kimbuzi great thinker unatupa utumbo tufikirie jinsi ya kupata mandingo,acha ukarumbwa
 
Hahaha MSHUKURU MUNGU JAMAA ANAKUPA KILA KITU JAPO UNA KISIMA. Wanaume wengine wavumilivu walai [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani wadada wa siku hizi wanakera sana. Hawezi kusema yeye ndo tatizo kwamba ana qumer kubwa kazi kupeleka lawama upande wa pili. Matatizo haya yako pande zote mbili kuna vibamia kwa wanaume lakini pia kuna mahandaki kwa wamawake lakini huwezi kukuta mwanamke akijisema kuwa ana qumer kubwa never.
 
Acha kamba na ushike adabu yako aliyekwambia temeke sio ushuani nani?

Yaani mie kila siku nasemaga MMU ndio jukwaa pekee lililojaa vilaza

Utawadanganya hao hao barehe wenzio...eti milioniii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…