Veronica7598
JF-Expert Member
- Jan 2, 2017
- 361
- 408
Huyo kibopa labda awe anauza ngada, lakin sio serikalin akupe mill1 kwa siku hapanaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni Muongo M1 kwa Siku eti ndani ya siku tano Nina 5 ameamua kujifariji hapaHuyo kibopa labda awe anauza ngada, lakin sio serikalin akupe mill1 kwa siku hapanaaaaa
Ni vizuri mkibahatika kupata wahongaji kama hao muwekeze ili akikuchoka na kuchukua mwingine una pa kuanzia. Sio unabaki kusimulia tu ilikuwa hivi vile......
Hadithi njooHivi unaijua milioni vizuri?Anafanya kazi idara gani hadi aweze kukupa milioni kila siku?Punguza chumvi kidogo mdogo wangu
Yethuuu na Maria..kweli hapo pesa imefeli..Kiru, je ingekuwa wewe ungefanya hivyo?! Ungerudi temeke?!
Kabsaa
Yeleuuuwi angekuwa dadako ungemwambia ivyo?!