Msaada: Harufu ya utapeli!

Msaada: Harufu ya utapeli!

Belinda, nashukuru sana for your kind assistance. Ngoja nichek naye nadhani atakuwa msaada mkubwa sana. Asante sana.

Karibu Mkuu, maisha kusaidiana penye uwezo..Naelewa na gharama za simu mara nyingine upige simu iende kwenye voicemail basi full usumbufu tena ukizingatia umeshalipia.. mdogo wangu anaongea kidachi hivyo itasaidia zaidi kuwaelewa na kuonyesha taarifa zao zipo wazi..

BJ mimi pia nikushukuru kwani kama alivyo rajoh, mimi pia ni mdau kwenye hii tasnia. Rajoh usichoke kutuhabarisha muendelezo wa hii kitu ambacho Im sure wengi wako interested.

Bobby karibu mkuu..Subiri tuone inakuwaje mpaka mwisho wake..will keep you posted!!
 
Inatia moyo sana! Once again thanks BJ.
 
Karibu Mkuu, maisha kusaidiana penye uwezo..Naelewa na gharama za simu mara nyingine upige simu iende kwenye voicemail basi full usumbufu tena ukizingatia umeshalipia.. mdogo wangu anaongea kidachi hivyo itasaidia zaidi kuwaelewa na kuonyesha taarifa zao zipo wazi..

Yeah, ni kweli maisha ni kusaidiana penye uwezo. Kama ulijua vile, simu kuingia kwenye voice mail kawaida sana na unakuta sometimes dk ishapotea kama buk hivi.

Nimeongea naye vizuri, tumeelewana.... ataenda kutafiti vizuri. Hope atafanikisha.
 
BJ mimi pia nikushukuru kwani kama alivyo rajoh, mimi pia ni mdau kwenye hii tasnia. Rajoh usichoke kutuhabarisha muendelezo wa hii kitu ambacho Im sure wengi wako interested.

Hata bila documents wanapaswa wakupatie booking number au B/L no. pia wakujulishe wametuma kwenye meli ipi baada ya hapo utafanya tracking mwenyewe kwenye mtandao wa meli na utaweza kujua ukweli kama mzigo upo kwenye hiyo meli. Kama upo hata bila document utawaambia wakufanyie telex release ya mzigo hapa ili uweze kutoa bandarini bila b/l. Ukifanya hivyo mapema ni vizuri kwa sababu b/l ikifika kwa tapeli utapata mzigo umesha kuwa cleared siku nyingi. Kumbuka mwenye b/l mkononi ndiye mwenye mzigo. Kama hawakupi hizo detail inamaanisha hawaja fanya shipment na hapo unaweza sasa kufuatilia angle ya kuwa kuna utapeli au delay ya kupakia mzigo. Mimi sidhani hawa ni tapeli but you never know.
 
Mkuu Chash, nina mawazo kama yako ya hapo nilibold. I know how busy these guys wa trucking business can be and sometimes very disorganized. Nimeshakumbana na cases za jamaa wanamisplace docs au kwa sbb wanazozijiua wao wanachelewa kuship mzigo then hawawi wakweli ndio maana wanadai wametuma docs kwa posat kitu ambacho ni almost impossible. Hata hivyo lets wait and hear frm jamaa aliyeanzisha uzi but I'm sure utapeli per se unaweza usiwepo kwenye hii transaction.
 
Mkuu, Bobby: mpaka sasa zaidi ya 70% inaonesha jamaa ni matapeli. Tumeshaanza kuchukua hatua muhimu kuona kama tunaweza kurescue something on that transaction.
 
Wakuu nime-edit post kidogo kwa sababu za kipelelezi kidogo. (I mean nimehide baadhi ya taarifa)-mkuu Belinda na Bobby nadhani tuko pamoja.

Sawa mkuu rajoh, pamoja sana.. Tunazidi kukusikilizia. wikiendi nzuri uwe nayo.
 
Last edited by a moderator:
Kuuna jamaa yangu amenunua truck na trailers kutoka Netherlands kwenye kampuni flan hivi.

Aliwasiliana nao na kutuma pesa toka mwezi juni mwanzoni, tatizo limekuja kwenye shipment ya hizo trucks. Kwa kweli kwa sasa jamaa hawaelewi kwani nikiwapigia simu wanaongea but information zinajichanganya na kutia mashaka.
Anaomba kama kuna mtz yupo Nertherlands au unamfahamu mtu anayeweza kusaidia, tafadhali tunaomba msaada huo ili atusaidie kufatilia.

Wakuu nime-edit post kidogo kwa sababu za kipelelezi kidogo. (I mean nimehide baadhi ya taarifa)-mkuu Belinda na Bobby nadhani tuko pamoja.

Balozi wetu yupo kule alafu weka details
 
Kuna jamaa yangu
nikiwapigia simu wanaongea
Wewe uliwapigia kama nani? Next time time issues muhimu kama hizi jitahidi kuwa muwazi kama kweli unataka msaada. Sasa mara jamaa yangu mara mimi, nashindwa kuelewa. But anza kujiandaa kisaikolojia kuwa umeliwa
 
Mkuu tatizo la ndugu yangu ni langu pia. Hata hivyo niko nafatilia bado.
 
Hata bila documents wanapaswa wakupatie booking number au B/L no. pia wakujulishe wametuma kwenye meli ipi baada ya hapo utafanya tracking mwenyewe kwenye mtandao wa meli na utaweza kujua ukweli kama mzigo upo kwenye hiyo meli. Kama upo hata bila document utawaambia wakufanyie telex release ya mzigo hapa ili uweze kutoa bandarini bila b/l. Ukifanya hivyo mapema ni vizuri kwa sababu b/l ikifika kwa tapeli utapata mzigo umesha kuwa cleared siku nyingi. Kumbuka mwenye b/l mkononi ndiye mwenye mzigo. Kama hawakupi hizo detail inamaanisha hawaja fanya shipment na hapo unaweza sasa kufuatilia angle ya kuwa kuna utapeli au delay ya kupakia mzigo. Mimi sidhani hawa ni tapeli but you never know.

Mkuu chash hapo pekundu pananihusu, mimi nina copy ya B/L ila original bado haijafika jamaa walijichanganya eti wakasahau kutuma, bado wanajivuta vuta kutuma, sijui ndo hivyo wanakwepa gharama za DHL. Mzigo umeishaingia bandarini ila clearing agent anadai haiwezekani kutoa bila kuwa na original B/L, sasa sijui haelewi huo utaratibu wa kutoa mzigo kwa telex release, hebu naomba ushauri mkuu manake storage charges ni balaa
 
Last edited by a moderator:
Pole bro.

Lakini as long as una namba yao ya simu bora usonge ubalozini ukajue mbivu na mbichi.

Kule kwa wenzetu namba ya simu ni kila kitu labda asiwepo hapo Uholanzi.

Beba documents zako kama ile swift copy, Namba yao ya simu na account yao ya benki songa ubalozini kupata ukweli.

Ulijaribu kuwa google kwanza?
 
Mkuu chash hapo pekundu pananihusu, mimi nina copy ya B/L ila original bado haijafika jamaa walijichanganya eti wakasahau kutuma, bado wanajivuta vuta kutuma, sijui ndo hivyo wanakwepa gharama za DHL. Mzigo umeishaingia bandarini ila clearing agent anadai haiwezekani kutoa bila kuwa na original B/L, sasa sijui haelewi huo utaratibu wa kutoa mzigo kwa telex release, hebu naomba ushauri mkuu manake storage charges ni balaa

Samahani sijaweza kucheki mtandao siku kadhaa. Ni vizuri uwasiliane na jamaa waende kwa shipping agent wao ili awafahamishe shipping line ku-release mzigo hapa. Shippingline wana agen wao hapa ambaye atashughulikia kupata release.
 
asante mkuu, nimeelewa vizuri sasa
 
Back
Top Bottom