BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
Belinda, nashukuru sana for your kind assistance. Ngoja nichek naye nadhani atakuwa msaada mkubwa sana. Asante sana.
Karibu Mkuu, maisha kusaidiana penye uwezo..Naelewa na gharama za simu mara nyingine upige simu iende kwenye voicemail basi full usumbufu tena ukizingatia umeshalipia.. mdogo wangu anaongea kidachi hivyo itasaidia zaidi kuwaelewa na kuonyesha taarifa zao zipo wazi..
BJ mimi pia nikushukuru kwani kama alivyo rajoh, mimi pia ni mdau kwenye hii tasnia. Rajoh usichoke kutuhabarisha muendelezo wa hii kitu ambacho Im sure wengi wako interested.
Bobby karibu mkuu..Subiri tuone inakuwaje mpaka mwisho wake..will keep you posted!!