Msaada: Hawala anataka tugawane mali

Msaada: Hawala anataka tugawane mali

Ukikaa naye kwa siku tisini,hata kama ni Sogea tuishi basi anakuwa na haki zote kama mke kasoro cheti tu.Sasa Miaka mitatu unamchakata Papuchi halafu uje unajiliza huku JF.
 
Kivipi na hakuwa ata anatafuta pesa Ni mama Wa nyumbani na ninamtunzia mtoto wake
Kwa sababu umemkula kwa zaidi ya miezi 3 mdululizo, amekufulia nguo, amekupikia, amesafisha nyumba na kukutia joto kwa zaidi ya miezi 3 mdululizo! Huyo ni mkeo kabisa huna ujanja! Kubalianeni tu mbariki ndoa! Vinginevyo, ni pasu kwa pasu! Pia kwa Kuwa na we amekosa nafasi ya Kuwa na mwingine!
 
Kisheria, Dhana ya ndoa inasema hivii:

1. Kama mmeishi pamoja miezi 6 na kuendelea;
2. Majirani wanawajua nyie kama ni mume na mke...
Siwezi maana had I mama mkwe ananikashifu
 
[QUOTE="Hero, post: 36051297, member: 25446"sababu umemkula kwa zaidi ya miezi 3 mdululizo, amekufulia nguo, amekupikia, amesafisha nyumba na kukutia joto kwa zaidi ya miezi 3 mdululizo! Huyo ni mkeo kabisa huna ujanja! Kubalianeni tu mbariki ndoa! Vinginevyo, ni pasu kwa pasu! Pia kwa Kuwa na we amekosa nafasi ya Kuwa na mwingine!
[/QUOTE]
Siyo mfululizo maana nilikuwa namtimua anakaa kwao baadae nampigia simu arudi
 
Wewe mwenyewe umesema "mmejenga" sasa kwanini unataka kumdhulumu.Hiyo nyumba mliyojenga mkiwa pamoja ni yenu wote aliyoikuta ni ya kwako
Kwavile tulikuwa wote yeye kama observer
 
Kisheria, Dhana ya ndoa inasema hivii:

1. Kama mmeishi pamoja miezi 6 na kuendelea;
2. Majirani wanawajua nyie kama ni mume na mke...
Vipi kuhusu Mimi kudai gharama za kutunza mtoto asiyekuwa wangu
 
[QUOTE="Hero, post: 36051297, member: 25446"sababu umemkula kwa zaidi ya miezi 3 mdululizo, amekufulia nguo, amekupikia, amesafisha nyumba na kukutia joto kwa zaidi ya miezi 3 mdululizo! Huyo ni mkeo kabisa huna ujanja! Kubalianeni tu mbariki ndoa! Vinginevyo, ni pasu kwa pasu! Pia kwa Kuwa na we amekosa nafasi ya Kuwa na mwingine!
Siyo mfululizo maana nilikuwa namtimua anakaa kwao baadae nampigia simu arudi
[/QUOTE]

😂🤣😂, Basi mtimue Tena utampigia Simu baadae arudi! Kitendo Cha kukaa na mwanamke miezi zaidi ya 3, automatically anabadilishwa jina na Kuwa mkeo!

Hata hivyo Kuna ubayagani kumpa kinuamgongo jamani kuku'support' na kukuwezesha kufanya kazi zako vizuri! Hebu jamani tuwe na utu, Mali mbona zinatutwa!
 
Hakuna nimepata tabu kumtunzia mtoto wake na yeye anilipe..
 
Vipi kuhusu Mimi kumtunza mtoto wake
Ulimtunzaje kwa mfano!? Wanaume hatuwazi hivyo, we mpe kinuamgongo, Kama vipi yamalizeni na mbariki ndoa yenu! Hakuna jipya chini ya jua! Acha kumuita majina sweetie wako! Mpe uhakika wa Kuwa na we utashangaa atakavyotulia na we Kyla mema ya nchi!
 
Nimetukanwa hadi na mama ake ...siwezi aondoke tu watanitishaje???
 
Ukubwa ni jalala, nenda kayatengeneze na mkeo na wakwe pia! Maadamu bado mna midomo, kayaongeeni myamalize! We mwenyewe bado unampenda! Na kamwe usimseme vibaya mtoto asye na hatua! Mungu atakubariki na utakuja kutushuhudia baadae!
 
Tauta namna ya 'kumpoza' aende.
Inaumiza Sana. Inawezekana hata baba wa huyo mtoto alifanyiwa hivyo hivyo.
 
Yaan umevurugaaaa weee K ya mdada wa watu miaka 3, umeshashiba now umepata mpya eti umbwage...

Hiyo mali mnagawana pasu pasu, kwanza kwa kukutunza wewe, kumpotezea muda na kukuweka vizuri kisaikoloji ili usiende kubaka huko nje!
Kama ni suala la kutunza wote wametunzana, mbona kiuhalisia wanawake mnakubali nyinyi ni wategemezi kwa ME, lakini mkikaa mbele ya halaiki mnaongea habari ya 50/50!
 
Yaan umevurugaaaa weee K ya mdada wa watu miaka 3, umeshashiba now umepata mpya eti umbwage...

Hiyo mali mnagawana pasu pasu, kwanza kwa kukutunza wewe, kumpotezea muda na kukuweka vizuri kisaikoloji ili usiende kubaka huko nje!
Hata yeye ameuvuruga mtwangio wa mwenzako kwa miaka 3. Na katika hiyo miaka 3 alikuwa anakula, anavaa, analala bure.
Kwa hiyo hapo ni ngoma droo kama ni muda wote wamepotezeana.
 
Ukubwa ni jalala, nenda kayatengeneze na mkeo na wakwe pia! Maadamu bado mna midomo, kayaongeeni myamalize! We mwenyewe bado unampenda! Na kamwe usimseme vibaya mtoto asye na hatua! Mungu atakubariki na utakuja kutushuhudia baadae!
Dalili ya mvua Ni mawingu kama tunakaslopu....mwanamke anaanza kelele vipi tukijenga ghorofa....???
 
Hata yeye ameuvuruga mtwangio wa mwenzako kwa miaka 3.
Na katika hiyo miaka 3 alikuwa anakula,anavaa,analala bure.
Kwa hiyo hapo ni ngoma droo kama ni muda wote wamepotezeana.
🙌🙌🙏🙏 safi sana Mkuu hana kazi nimemlisha,nimemlisha mtoto wake kuanzia ameachishwa hadi nikampeleka shule English medium..... Leo analeta kinyolilo..aisee
 
Back
Top Bottom