Nimetoka Katavi
Member
- Oct 8, 2019
- 69
- 62
Ukikaa naye kwa siku tisini,hata kama ni Sogea tuishi basi anakuwa na haki zote kama mke kasoro cheti tu.Sasa Miaka mitatu unamchakata Papuchi halafu uje unajiliza huku JF.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sababu umemkula kwa zaidi ya miezi 3 mdululizo, amekufulia nguo, amekupikia, amesafisha nyumba na kukutia joto kwa zaidi ya miezi 3 mdululizo! Huyo ni mkeo kabisa huna ujanja! Kubalianeni tu mbariki ndoa! Vinginevyo, ni pasu kwa pasu! Pia kwa Kuwa na we amekosa nafasi ya Kuwa na mwingine!Kivipi na hakuwa ata anatafuta pesa Ni mama Wa nyumbani na ninamtunzia mtoto wake
Siyo mfululizo maana nilikuwa namtimua anakaa kwao baadae nampigia simu arudi[QUOTE="Hero, post: 36051297, member: 25446"sababu umemkula kwa zaidi ya miezi 3 mdululizo, amekufulia nguo, amekupikia, amesafisha nyumba na kukutia joto kwa zaidi ya miezi 3 mdululizo! Huyo ni mkeo kabisa huna ujanja! Kubalianeni tu mbariki ndoa! Vinginevyo, ni pasu kwa pasu! Pia kwa Kuwa na we amekosa nafasi ya Kuwa na mwingine!
😂🤣😂, Basi mtimue Tena utampigia Simu baadae arudi! Kitendo Cha kukaa na mwanamke miezi zaidi ya 3, automatically anabadilishwa jina na Kuwa mkeo!Siyo mfululizo maana nilikuwa namtimua anakaa kwao baadae nampigia simu arudi
Ulimtunzaje kwa mfano!? Wanaume hatuwazi hivyo, we mpe kinuamgongo, Kama vipi yamalizeni na mbariki ndoa yenu! Hakuna jipya chini ya jua! Acha kumuita majina sweetie wako! Mpe uhakika wa Kuwa na we utashangaa atakavyotulia na we Kyla mema ya nchi!Vipi kuhusu Mimi kumtunza mtoto wake
Nimetukanwa hadi na mama ake ...siwezi aondoke tu watanitishaje???Ulimtunzaje kwa mfano!? Wanaume hatuwazi hivyo, we mpe kinuamgongo, Kama vipi yamalizeni na mbariki ndoa yenu! Hakuna jipya chini ya jua! Acha kumuita majina sweetie wako! Mpe uhakika wa Kuwa na we utashangaa atakavyotulia na we Kyla mema ya nchi!
Ukubwa ni jalala, nenda kayatengeneze na mkeo na wakwe pia! Maadamu bado mna midomo, kayaongeeni myamalize! We mwenyewe bado unampenda! Na kamwe usimseme vibaya mtoto asye na hatua! Mungu atakubariki na utakuja kutushuhudia baadae!Nimetukanwa hadi na mama ake ...siwezi aondoke tu watanitishaje???
Kama ni suala la kutunza wote wametunzana, mbona kiuhalisia wanawake mnakubali nyinyi ni wategemezi kwa ME, lakini mkikaa mbele ya halaiki mnaongea habari ya 50/50!Yaan umevurugaaaa weee K ya mdada wa watu miaka 3, umeshashiba now umepata mpya eti umbwage...
Hiyo mali mnagawana pasu pasu, kwanza kwa kukutunza wewe, kumpotezea muda na kukuweka vizuri kisaikoloji ili usiende kubaka huko nje!
Umetukanwa na mama mkwe!Nimetukanwa hadi na mama ake ...siwezi aondoke tu watanitishaje???
Hata yeye ameuvuruga mtwangio wa mwenzako kwa miaka 3. Na katika hiyo miaka 3 alikuwa anakula, anavaa, analala bure.Yaan umevurugaaaa weee K ya mdada wa watu miaka 3, umeshashiba now umepata mpya eti umbwage...
Hiyo mali mnagawana pasu pasu, kwanza kwa kukutunza wewe, kumpotezea muda na kukuweka vizuri kisaikoloji ili usiende kubaka huko nje!
Dalili ya mvua Ni mawingu kama tunakaslopu....mwanamke anaanza kelele vipi tukijenga ghorofa....???Ukubwa ni jalala, nenda kayatengeneze na mkeo na wakwe pia! Maadamu bado mna midomo, kayaongeeni myamalize! We mwenyewe bado unampenda! Na kamwe usimseme vibaya mtoto asye na hatua! Mungu atakubariki na utakuja kutushuhudia baadae!
🙌🙌🙏🙏 safi sana Mkuu hana kazi nimemlisha,nimemlisha mtoto wake kuanzia ameachishwa hadi nikampeleka shule English medium..... Leo analeta kinyolilo..aiseeHata yeye ameuvuruga mtwangio wa mwenzako kwa miaka 3.
Na katika hiyo miaka 3 alikuwa anakula,anavaa,analala bure.
Kwa hiyo hapo ni ngoma droo kama ni muda wote wamepotezeana.