mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
[emoji119][emoji119][emoji120][emoji120] safi sana Mkuu hana kazi nimemlisha,nimemlisha mtoto wake kuanzia ameachishwa hadi nikampeleka shule English medium..... Leo analeta kinyolilo..aisee
[emoji23][emoji1787][emoji23], Basi mtimue Tena utampigia Simu baadae arudi! Kitendo Cha kukaa na mwanamke miezi zaidi ya 3, automatically anabadilishwa jina na Kuwa mkeo!Siyo mfululizo maana nilikuwa namtimua anakaa kwao baadae nampigia simu arudi
Hata mimi nashangaa utamu si walikuwa wanagawana wote.
Eti bwana kupika anapika tunakula wote na mtoto wake......Daaaah
Usipotoshe, "Presumption of Marriage" kwa mujibu wa sheria ya Ndoa inasema muwe mmeishi pamoja kwa zaidi ya miaka miwili. Hiyo presumption ya miezi sita umeitoa wapi?Kisheria, Dhana ya ndoa inasema hivii:
1. Kama mmeishi pamoja miezi 6 na kuendelea;
2. Majirani wanawajua nyie kama ni mume na mke....
Majirani huwa wanamuona tu anapita pita.........kwetu hawamjui hata jina ,kwao sijawahi kanyaga.....hiyo nyumba mpya tuliamia mwaka huu mwanzoni....Nipe maelezo zaidi nitakushauri kitu.
majirani wanamfahamu huyo mwanamke?ndugu wanamfahamu?kama hawamjui na hakuondoka kwa talaka au maandishi yoyote hana chake.
Tena kama Ni muda sheria inasema miaka 2 mfululizo ....sasa mwanamke Wa kukaa naye mwezi mwezi mwingine unafukuza .....kuna mfululizo hapo???Usipotoshe, "Presumption of Marriage" kwa mujibu wa sheria ya Ndoa inasema muwe mmeishi pamoja kwa zaidi ya miaka miwili. Hiyo presumption ya miezi sita umeitoa wapi? All in all kuna factors nyingi zaidi ya muda walioishi pamoja. Jamaa akiwa smart anaweza kum-dump vizuri tu huyo mwanamke. Maana kwa kigezo cha muda, "Presumption of Marriage" ina-qualify
Majirani huwa wanamuona tu anapita pita.........kwetu hawamjui hata jina ,kwao sijawahi kanyaga.....hiyo nyumba mpya tuliamia mwaka huu mwanzoni....
Kweli maana ata mamaake aliachwa hivyo hivyo anaishi mwenyewe mwenye.....kuanzia bibi MTU hadi mjukuu Ni ma(single mother's).....Tauta namna ya 'kumpoza' aende.
Inaumiza Sana. Inawezekana hata baba wa huyo mtoto alifanyiwa hivyo hivyo.
bkabla ya hapo mlikuwa mnaishi wapi?mlipanga?hiyo nyumba mpya ulivyokuwa unajenga ulimshirikisha?ulijenga mwaka gani?
b
Kabla ya hapo tulikuwa tunaishi kwenye nyumba niliyonunua hapo awali (Yangu)...nyumba mpya kakuta nimeanza kujenga baada ya kununua Kiwanja changu sehemu nyingine mwaka 2019...yeye alishiriki wakati Wa kujenga choo
Acha Basi kumpoteza mwenzio, usumbufu wote huo wa Nini! Mwanasheria atamlipa maneno! Sheria ya ndoa unaijua kweli we! We mpoteze mwenzio! Hapa mawili, mlipe au bariki ndoa, mengineyo utakuja Tena hapa ukilialia hasa akipata kocha mzuri huyo mkeo!Mkuu usitishwe na Hawa wanaokutisha humu.
Hujazaa nae na hujafunga nae ndoa, hapo Hakuna kesi. Watu wanasema masuala ya kukaa na mwanamke sijui miezi mitatu Ni ndoa , thubutu. Ulizieni hizi kesi mahakamani Kama Kuna hicho Kitu hususani mtu mwenyewe hata hujazaa nae...
Asante sana Mkuu thanks.....maana wengi wanajifariji na muda Wa kukaa naye.....sasa wanatunyonya sana eti π π ππππ³Mkuu usitishwe na Hawa wanaokutisha humu.
Hujazaa nae na hujafunga nae ndoa, hapo Hakuna kesi. Watu wanasema masuala ya kukaa na mwanamke sijui miezi mitatu Ni ndoa , thubutu. Ulizieni hizi kesi mahakamani Kama Kuna hicho Kitu hususani mtu mwenyewe hata hujazaa nae...