Msaada: Hawala anataka tugawane mali

Msaada: Hawala anataka tugawane mali

Asikutishe ingekuwa umezaa naye ndio angesumbua ila kama hana mtoto wako hapo hana kidhibiti ni sawa sawa na malaya wa sinza tu.
[emoji119][emoji119][emoji120][emoji120] safi sana Mkuu hana kazi nimemlisha,nimemlisha mtoto wake kuanzia ameachishwa hadi nikampeleka shule English medium..... Leo analeta kinyolilo..aisee
 
Nenda kwa Mwanasheria atakusaidia zaidi ukicheza vibaya utapotea ufe kwa stress. Narudia tena nenda kwa mwanasheria
 
Siyo mfululizo maana nilikuwa namtimua anakaa kwao baadae nampigia simu arudi
[emoji23][emoji1787][emoji23], Basi mtimue Tena utampigia Simu baadae arudi! Kitendo Cha kukaa na mwanamke miezi zaidi ya 3, automatically anabadilishwa jina na Kuwa mkeo!
Hata hivyo Kuna ubayagani kumpa kinuamgongo jamani kuku'support' na kukuwezesha kufanya kazi zako vizuri! Hebu jamani tuwe na utu, Mali mbona zinatutwa![/QUOTE]Mali kama zinatafutwa mbona hakutafuta zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani kakuambia huyo ni hawara yako? Huyo ni mkeo kabisa
 
Asikutishe ingekuwa umezaa naye ndio angesumbua ila kama hana mtoto wako hapo hana kidhibiti ni sawa sawa na malaya wa sinza tu.
Saws kabisa tena nilimtunzia mtoto wake eti....hana shukrani
 
Kisheria, Dhana ya ndoa inasema hivii:

1. Kama mmeishi pamoja miezi 6 na kuendelea;
2. Majirani wanawajua nyie kama ni mume na mke....
Usipotoshe, "Presumption of Marriage" kwa mujibu wa sheria ya Ndoa inasema muwe mmeishi pamoja kwa zaidi ya miaka miwili. Hiyo presumption ya miezi sita umeitoa wapi?

All in all kuna factors nyingi zaidi ya muda walioishi pamoja. Jamaa akiwa smart anaweza kum-dump vizuri tu huyo mwanamke. Maana kwa kigezo cha muda, "Presumption of Marriage" ina-qualify
 
Nipe maelezo zaidi nitakushauri kitu.
majirani wanamfahamu huyo mwanamke?ndugu wanamfahamu?kama hawamjui na hakuondoka kwa talaka au maandishi yoyote hana chake.
Majirani huwa wanamuona tu anapita pita.........kwetu hawamjui hata jina ,kwao sijawahi kanyaga.....hiyo nyumba mpya tuliamia mwaka huu mwanzoni....
 
Usipotoshe, "Presumption of Marriage" kwa mujibu wa sheria ya Ndoa inasema muwe mmeishi pamoja kwa zaidi ya miaka miwili. Hiyo presumption ya miezi sita umeitoa wapi? All in all kuna factors nyingi zaidi ya muda walioishi pamoja. Jamaa akiwa smart anaweza kum-dump vizuri tu huyo mwanamke. Maana kwa kigezo cha muda, "Presumption of Marriage" ina-qualify
Tena kama Ni muda sheria inasema miaka 2 mfululizo ....sasa mwanamke Wa kukaa naye mwezi mwezi mwingine unafukuza .....kuna mfululizo hapo???
 
kabla ya hapo mlikuwa mnaishi wapi?mlipanga?hiyo nyumba mpya ulivyokuwa unajenga ulimshirikisha?ulijenga mwaka gani?
Majirani huwa wanamuona tu anapita pita.........kwetu hawamjui hata jina ,kwao sijawahi kanyaga.....hiyo nyumba mpya tuliamia mwaka huu mwanzoni....
 
Tauta namna ya 'kumpoza' aende.
Inaumiza Sana. Inawezekana hata baba wa huyo mtoto alifanyiwa hivyo hivyo.
Kweli maana ata mamaake aliachwa hivyo hivyo anaishi mwenyewe mwenye.....kuanzia bibi MTU hadi mjukuu Ni ma(single mother's).....
 
Si huwa tunawafuata wenyewe lakini, povu la Nini? Pambaneni na Hali zenu, jamani, unalalamika Kama wanaume wa Dar!?
mi silalamiki ila naomba Msaada Wa kisheria kuhusu kugawana Mali....
 
Mkuu usitishwe na Hawa wanaokutisha humu.

Hujazaa nae na hujafunga nae ndoa, hapo Hakuna kesi. Watu wanasema masuala ya kukaa na mwanamke sijui miezi mitatu Ni ndoa , thubutu. Ulizieni hizi kesi mahakamani Kama Kuna hicho Kitu hususani mtu mwenyewe hata hujazaa nae.

Mimi nimewahi kufanya kazi za ustawi wa jamii hizi kesi za hivi mwanamke anatolewa KO mapema na kesi inakuwa haina premises zozote za maana. Mkuu wewe mpe vitu unavyoona vinafaa asepe. Alikataa muitie polisi. Akienda mahakamani tafuta mwanasheria hiyo ni kesi nyepesi Sana.
 
kabla ya hapo mlikuwa mnaishi wapi?mlipanga?hiyo nyumba mpya ulivyokuwa unajenga ulimshirikisha?ulijenga mwaka gani?
b
Kabla ya hapo tulikuwa tunaishi kwenye nyumba niliyonunua hapo awali (Yangu)...nyumba mpya kakuta nimeanza kujenga baada ya kununua Kiwanja changu sehemu nyingine mwaka 2019...yeye alishiriki wakati Wa kujenga choo
 
Hana chake hapo akienda kushitaki mahakamani watamdharau na kumuona ana njaa tu.
Ila akianzisha kesi usikurupuke kuwa karibu na mwanasheria ufuate ushauri wake kwenye kila hatua ukibugi atakutia hasara
b
Kabla ya hapo tulikuwa tunaishi kwenye nyumba niliyonunua hapo awali (Yangu)...nyumba mpya kakuta nimeanza kujenga baada ya kununua Kiwanja changu sehemu nyingine mwaka 2019...yeye alishiriki wakati Wa kujenga choo
 
Mkuu usitishwe na Hawa wanaokutisha humu.

Hujazaa nae na hujafunga nae ndoa, hapo Hakuna kesi. Watu wanasema masuala ya kukaa na mwanamke sijui miezi mitatu Ni ndoa , thubutu. Ulizieni hizi kesi mahakamani Kama Kuna hicho Kitu hususani mtu mwenyewe hata hujazaa nae...
Acha Basi kumpoteza mwenzio, usumbufu wote huo wa Nini! Mwanasheria atamlipa maneno! Sheria ya ndoa unaijua kweli we! We mpoteze mwenzio! Hapa mawili, mlipe au bariki ndoa, mengineyo utakuja Tena hapa ukilialia hasa akipata kocha mzuri huyo mkeo!
 
Mkuu usitishwe na Hawa wanaokutisha humu.

Hujazaa nae na hujafunga nae ndoa, hapo Hakuna kesi. Watu wanasema masuala ya kukaa na mwanamke sijui miezi mitatu Ni ndoa , thubutu. Ulizieni hizi kesi mahakamani Kama Kuna hicho Kitu hususani mtu mwenyewe hata hujazaa nae...
Asante sana Mkuu thanks.....maana wengi wanajifariji na muda Wa kukaa naye.....sasa wanatunyonya sana eti 🙏 🙏 🙏🙏🙏😳
 
Back
Top Bottom