msaada heslb

msaada heslb

luofe

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2011
Posts
330
Reaction score
143
mdhamini wangu hana kadi ya kupigia kura ,hana pasi ya kusafiria na hana kitambulisho cha utaifa lakini ana kitambulidho cha kazi! je tunaweza kutumia hicho kama kiambatanisho?
 
very interesting. kitambulisho kina picha yake na sehemu anayofanyia kazi na na zoezi likiwa mbele ya Commisioner of Oaths - sijui kama kuna tatizo hapo. kuna watu hawapigi kura na wamepoteza na hawajasafiri katika muda mfupi watakuwa na njia ya kutambuliwa katika jamii
 
mdhamini wangu hana kadi ya kupigia kura ,hana pasi ya kusafiria na hana kitambulisho cha utaifa lakini ana kitambulidho cha kazi! je tunaweza kutumia hicho kama kiambatanisho?
Inategemea na kazi yenyewe!..Kuna kitu kinaitwa KITAMBULISHO CHA MKAZI, kinatolewa ofisi za kata!
 
Back
Top Bottom